Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa hiyo alimuua kwa hisia tu kwamba anachapiwa?😹😹😹 Sasa si kila mtu na ofisi yake jamani..!!
Huyo wivu wake tu anajua maboss wa Airport wanamchapia.!!
Kwa hiyo alimuua kwa hisia tu kwamba anachapiwa?😹😹😹 Sasa si kila mtu na ofisi yake jamani..!!
Huyo wivu wake tu anajua maboss wa Airport wanamchapia.!!
Anapelekeshwa na kichwa kidogo kuliko kikubwa..!! Hapo kajikomoa maisha yake na aliyemuhisi anamchapia anaendelea kutesa uraiani akiendelea na maisha yake..!!Yeah kweli na Wanaume wa hivi wako wengi Tu, ni Mwanaume lakini kichwani debe tupu
Mhm bank wanashika shika tu hela za watu , mishahara yao ni kichekeshoMwanaume ni afisa mtendaji wa kata halafu mke ni mfanyakazi wa benki tena tawi la airport 😁
Hoja ipo hapo.Ila mauaji hayo yana sababu zake hata kama ni za kipumbaff.Mhm bank wanashika shika tu hela za watu , mishahara yao ni kishekesho
Mume yuko mtaani anatatua ugomvi wa mwajuma ndala ndefu kumtukana mama sele bonge baada kuchelewa kulipa deni la miguu ya kuku wakati mke anapokea tips $ za wasafiri matajiri na wazungu wasafiri huku wakimpa tabasamu zito😁😹😹😹 Sasa si kila mtu na ofisi yake jamani..!!
Huyo wivu wake tu anajua maboss wa Airport wanamchapia.!!
Kuchapiwa nayo big issue mpaka uue?Huyu mpuuzi ametuaibisha sana wanaume wenye ndoa zetu allooo....😒
Kwani wanawake wanaochepuka ni kwaajili ya kipato!?,hujasikia wabunge viti maalum wanalipwa zaidi ya milioni 15 kwa mwezi na malupulupu kibao na bado wanachepuka!?, saa nyingine kuchepuka ni hulka ya mtu tu.Kama sijawasoma vema wachangiaji wa uzi huu;Ni kwamba kuna mmoja wao alichepuka.Sasa,ni mume alichepuka ili aongeze kipato cha kumtunza mkewe au mke ndiye alichepuka?Kama mke ndiye alikuwa na kipato kikubwa,alichepuka ili Iweje?
Usishangae baada ya muda ukamuona uraiani.Ndoa ni kama pombe tu.Haina fundi wa kuhukumu wengine.Hata wasipomnyonga lakini kukaa uraiani asahau hapo..!! Bado na yeye kapata hasara kwa hasira za kijinga..!!
Walikuwa wakiteseka upande mwingine lakini sio upande wa familia za ajabu ajabu..!!Umezaliwa leo? Matatizo ya ndoa hayajaanza leo unajua vile wanawake walivyokuwa wakiteseka zamani.
Wanaoteseka zaidi benki labda ni wafanyakazi wanaume ambao sio maafisa makopo, bongo mabinti wanaofanya kazi benki hata wawe bank tellers au sales wako kwenye mifereji ya pesa kama wana wowo na ni warembo.Mhm bank wanashika shika tu hela za watu , mishahara yao ni kishekesho
Mkuu unatafuta mwenye kukuheshimu, huyo mwenye pesa na dharau unamuacha. Hii ni kwa ajili yako binafsi, amani yako na maisha yako.Shida ndugu zetu wachache sana ukute mwanamke yupo na pesa na asiwe na dhalau kwa mume wake
Kwa hiyo mke hakuwa muaminifu kwa mume na ndoa yake?Kwani wanawake wanaochepuka ni kwaajili ya kipato!?,hujasikia wabunge viti maalum wanalipwa zaidi ya milioni 15 kwa mwezi na malupulupu kibao na bado wanachepuka!?, saa nyingine kuchepuka ni hulka ya mtu tu.
Mkuu...Shida ndugu zetu wachache sana ukute mwanamke yupo na pesa na asiwe na dhalau kwa mume wake
😹😹😹 Sasa awafukuze wanaompa tips?Mume yuko mtaani anatatua ugomvi wa mwajuma ndala ndefu kumtukana mama sele bonge baada kuchelewa kulipa deni la miguu ya kuku wakati mke anapokea tips $ za wasafiri matajiri na wazungu wasafiri huku wakimpa tabasamu zito😁
Mwanamke hakuwa na kosa,sivyo?😹😹😹 Sasa awafukuze wanaompa tips?
Wewe ungekuwa yeye ungeweza?
Kosa la mtuhumiwa kuogelea kwenye maji sio kina chake..!!
Wanaume tunaumia sana mkuu, sema kwakua hatulii na kulalamika hadharani kwa kujifanya strong and kuogopa eti watu watatucheka.Kuchapiwa nayo big issue mpaka uue?
Si angemuacha avute mtoto mbichi..!! 😹😹
Kila siku nasema kwenye mapenzi wanaume mnaumia sana kuliko sisi wanawake ni vile tu mnapenda kujipiga vifua hapa jukwaani..!! 😹
Moise unanichosha na maswali yako bana 😹Mwanamke hakuwa na kosa,sivyo?
😹😹😹 AyiiiiiiWanaume tunaumia sana mkuu, sema kwakua hatulii na kulalamika hadharani kwa kujifanya strong and kuogopa eti watu watatucheka.
Lakini pia nilicho jifunza ni kwamba, bado wanawake wapo wengi wenye utii kwa waume zao.