mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hahahah mkuu usimsumbue bhana muache apumzike.Nataman ujumbe huu ausome mamaJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah mkuu usimsumbue bhana muache apumzike.Nataman ujumbe huu ausome mamaJ
Haya wadangaji waje sasaSimple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.
To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Mnapokuwa kwenye mahusiano motomoto ni mwanamke anae garanti kuolewa.Sasa kwa nini huyo mtu asimuoe?
Na imekuwaPOST YA MWAKA. LABDA NA MIAKA PIA.
Wanaume hatupo ivyoo, jitahidi kuishi nae vizuri, wakati hana kitu, mtendee inavyostahili, timiza wajibu wako kikamilifu na mjali, wakati hana kitu, hataweza kukutenda wakati wa neema ukifika.Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app