johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unajuaje kama hakuwa mwanajeshi?Neno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.
Wengine wote ni marehemu kwa heshima zao hapa duniani
Acha siasaNeno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.
Wengine wote ni marehemu kwa heshima zao hapa duniani
Neno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.

[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!!!mmecheka km falaaKwa mfano Hayati nditolo hapo inakua sawa?
Wote ni wafu tu na wafu hawana tofauti.Neno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.
Wengine wote ni marehemu kwa heshima zao hapa duniani
Neno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.
Wengine wote ni marehemu kwa heshima zao hapa duniani
Kamanda mbona una hasira sanaWote ni wafu tu na wafu hawana tofauti.
Neno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.
Wengine wote ni marehemu kwa heshima zao hapa duniani
Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungajiSijawahi kumsikia huyu
Naona alikuwa sio mtu wa siasa na dini
Haya sawa twende hivi: hayati ibilisi joka kuu.Neno hayati linatumiwa kwa wanajeshi na amir jeshi mkuu na wasaidizi wake wawili yaani makamu na waziri mkuu.
Wengine wote ni marehemu kwa heshima zao hapa duniani
Correction: Moses Kulola alikuwa mwalimu by profession na sio architect.Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji
Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect
Mtume Maboya alikuwa Askari
Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk
Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliwaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika
Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji