Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa hiyo mtu akiamua kujiita mchungaji ndio anakuwa amejitoa kwenye jukumu la kwenda kuhubiri injili huko kwenye vijiji vyenye upagani?Nafikiri hata Biblia huijui vijijini kwenye upagani wanaotakiwa kwenda ni wainjilisti sio wachungaji!!
Eneo lenye upagani mwingi anayetakiwa kwenda ni mwinjilisti naona huelewi hata mpangilio wa huduma katika mwili wa Kristo Na kazi zao
Endelea hivyo hivyo kujifanya hujui yale maovu yaliyotendeka chini ya utawala wa Magufuli wakati kila mtu akiyajua.Magufuli alitesa na kuua akina nani hao, lini na wapi? Thibitisha hilo kwanza. Mimi nikiropoka mbowe ni mbakaji haiwezi kua kweli mpaka nithibitishe unakaji wake.
Ninayo historia yake hapa ndugu na nkipata nafasi ntakuwekea hapaInaonekana hukupata kuijua vizuri historia ya mzee Kulola wewe
Acha uongo na propaganda, thibitisha hata mtu mmoja aliyeuawa na magufuli. Yaani mtu unalewa pombe ya kienyeji kuja kusema uongo kisa fake Id? Sema hayo maovu ya JPMEndelea hivyo hivyo kujifanya hujui yale maovu yaliyotendeka chini ya utawala wa Magufuli wakati kila mtu akiyajua.
Ndugu yangu humu JF kuna watu huwa wanajifanyaga wanamjua Kulola kuliko sisi wengine tulioweza hata kuishi naye.Ninayo historia yake hapa ndugu na nkipata nafasi ntakuwekea hapa
Asante ndugu yangu.Acha uongo na propaganda, thibitisha hata mtu mmoja aliyeuawa na magufuli. Yaani mtu unalewa pombe ya kienyeji kuja kusema uongo kisa fake Id? Sema hayo maovu ya JPM
Huna ulichoumizwa as long as umeshindwa kuthibitisha. Tunywe chai tukatafute pesa mkuu.Asante ndugu yangu.
Sawa mimi nimelewa na pombe za kienyeji ndio maana naandika hapa JF kwa ID fake.
Wewe endelea kuamini unachokiamini, lakini sisi wengine tulioumizwa na ukatili wa Magufuli tuache.
Umeona kaka? Ahsante kuliona hilo.Ndugu yangu humu JF kuna watu huwa wanajifanyaga wanamjua Kulola kuliko sisi wengine tulioweza hata kuishi naye.
Ukisema chochote kuhusu Kulola watakwambia wewe humjui.
Moro sehemu gani na linaitwaje?Dr Mtokambali Kanisa lake liko Morogoro!
TAG Bethel Revival Temple, Mwembesongo, MorogoroMoro sehemu gani na linaitwaje?
nataka siku nikasali bwashee
Hujui wito wa Mungu wewe Kwa mfano wewe unaonyesha una uchungu sana na wapagani walioko vijijini huo ni wito unatakiwa uende wewe unayesikia uchungu ukawahubirie usiseme ohh Mungu tuma wachumgaji waliorundikana mjini!!!! Hao hawaendi uchungu huo hawana wewe mwenye uchungu mziito ndie Mungu anakupa huo mzigo uende ukahubiri vijijiniKwa hiyo mtu akiamua kujiita mchungaji ndio anakuwa amejitoa kwenye jukumu la kwenda kuhubiri injili huko kwenye vijiji vyenye upagani?
Vipi kuhusu hao wachungaji wako waliojazana mijini na kugoma kwenda huko vijijini kwenye umaskini kuchunga kondoo wanaorandanda kwa kukosa wachungaji wa uhakika?
Vipi na maaskofu, wao kazi yao ni kukaa mijini kupiga pesa tu?
Nimeandika nikiwa na uhakikaMwongo mkubwa wewe huwezi andika jina lako kiwanja Cha kanisa hutapata vibali vya ujenzi toka serikalini
UKijenga kanisa vibali vyote vya ujenzi lazima visomeke jina la kanisa na hutolewa ukishaambatanisha hati ya kiwanja yenye jina la kanisa
Au wewe unaongekea makanisa ya makuti ? Nani akupe kibali Cha kujenga kanisa kiwanja binafsi? hayupo.
Ukienda TU kuomba kibali Cha ujenzi wa kanisa lazima upeleke hati ya kiwanja inayosomeka jina la kanisa sio Jina lako binafsi Au la mkeo
Mwinjilisti anatokea wapi kama sii kanisaniNafikiri hata Biblia huijui vijijini kwenye upagani wanaotakiwa kwenda ni wainjilisti sio wachungaji!!
Eneo lenye upagani mwingi anayetakiwa kwenda ni mwinjilisti naona huelewi hata mpangilio wa huduma katika mwili wa Kristo Na kazi zao
Kondoo wamejaa Kila kona ya nchiNafikiri hata Biblia huijui vijijini kwenye upagani wanaotakiwa kwenda ni wainjilisti sio wachungaji!!
Eneo lenye upagani mwingi anayetakiwa kwenda ni mwinjilisti naona huelewi hata mpangilio wa huduma katika mwili wa Kristo Na kazi zao
Mwinjilisti aliyeitwa na Mungu hahitaji kupelekwa na mtu awaye yeyote .Mungu akimwita mtu yeye ndie atamuwezesha Kila kituMwinjilisti anatokea wapi kama sii kanisani
Mwinjilisti atawezeshwa na nani kama sii washirika
Mchungaji kama anabana Hela zote Kwa manufaa yake
Mwinjilisti ataweza kwenda kuinjilisha
Umeongea kweli kabisaHujui wito wa Mungu wewe Kwa mfano wewe unaonyesha una uchungu sana na wapagani walioko vijijini huo ni wito unatakiwa uende wewe unayesikia uchungu ukawahubirie usiseme ohh Mungu tuma wachumgaji waliorundikana mjini!!!! Hao hawaendi uchungu huo hawana wewe mwenye uchungu mziito ndie Mungu anakupa huo mzigo uende ukahubiri vijijini
Uchungu Mungu akupe wewe halafu wewe unasukumia wengine wasio na huo uchungu huo ni ufarisayo hutaki kubeba huo mzigo unabebesha wengine wewe ubaki mjini ukila chips kuku na mayai
Wewe acha porojo nenda vijijini ukahubiri injili kama kweli una mzigo wa kweli na si wa kifarisayo
Ni kweli kabisa injili ni jukumu la kila mtu, sio kumuangalia Mchungaji tu.Mwinjilisti aliyeitwa na Mungu hahitaji kupelekwa na mtu awaye yeyote .Mungu akimwita mtu yeye ndie atamuwezesha Kila kitu
Mijitu isiyo na wito ndio hukaa kusingizia ohhh mfuko wa Kupeleka injili kanisani haupo !!!
Yohana mbatizaji alienda kuhubiri porini alilala porini na kula matunda pori lakini Yerusalem na miji yote watu walihama miji na kufuata Injil yake huko porini
Hakuwa na suti na tai kama baadhi ya wahubiri wengine matapeli wa Leo wala hakuwa na mfadhili ila watu walimiminika mikutano yake porini Huko huko Na walifuata Injili ya kuungama na kutubu dhambi sio maombezi !!! Alijua kaitwa na walijuana na aliyemuita
Mtu anayesema nimeitwa mwinjilisti halafu anasingizia ohhh nitaendaje nusipopelekwa? Akupeleke nani ? Huyo aliyekuita akupeleke atakupelekaje sio kazi ya Kanisa au Mchungaji au Askofu kujua.Muelewane na aliyekuita vinginevyo na wewe una wito wa Hela TU hakuna mwinjilisti hapo
Kwanza Yesu aliagiza wazi kuwa Kila anayetaka kumfuata ahesabu gharama kwanza . Mchungaji mfano Mwenisongole alihesabu gharama ya kuwa Mchungaji Akaona ataiweza .Hakutegemea Mchungaji yeyote wala nani alianza na washirika wanneMwinjilisti anatokea wapi kama sii kanisani
Mwinjilisti atawezeshwa na nani kama sii washirika
Mchungaji kama anabana Hela zote Kwa manufaa yake
Mwinjilisti ataweza kwenda kuinjilisha
Naona TU uvivu kujibuMwinjilisti aliyeitwa na Mungu hahitaji kupelekwa na mtu awaye yeyote .Mungu akimwita mtu yeye ndie atamuwezesha Kila kitu
Mijitu isiyo na wito ndio hukaa kusingizia ohhh mfuko wa Kupeleka injili kanisani haupo !!!
Yohana mbatizaji alienda kuhubiri porini alilala porini na kula matunda pori lakini Yerusalem na miji yote watu walihama miji na kufuata Injil yake huko porini
Hakuwa na suti na tai kama baadhi ya wahubiri wengine matapeli wa Leo wala hakuwa na mfadhili ila watu walimiminika mikutano yake porini Huko huko Na walifuata Injili ya kuungama na kutubu dhambi sio maombezi !!! Alijua kaitwa na walijuana na aliyemuita
Mtu anayesema nimeitwa mwinjilisti halafu anasingizia ohhh nitaendaje nusipopelekwa? Akupeleke nani ? Huyo aliyekuita akupeleke atakupelekaje sio kazi ya Kanisa au Mchungaji au Askofu kujua.Muelewane na aliyekuita vinginevyo na wewe una wito wa Hela TU hakuna mwinjilisti hapo
Wa yesu???Unajuaje kama hakuwa mwanajeshi?