Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa hiyo mtu akiamua kujiita mchungaji ndio anakuwa amejitoa kwenye jukumu la kwenda kuhubiri injili huko kwenye vijiji vyenye upagani?Nafikiri hata Biblia huijui vijijini kwenye upagani wanaotakiwa kwenda ni wainjilisti sio wachungaji!!
Eneo lenye upagani mwingi anayetakiwa kwenda ni mwinjilisti naona huelewi hata mpangilio wa huduma katika mwili wa Kristo Na kazi zao
Vipi kuhusu hao wachungaji wako waliojazana mijini na kugoma kwenda huko vijijini kwenye umaskini kuchunga kondoo wanaorandanda kwa kukosa wachungaji wa uhakika?
Vipi na maaskofu, wao kazi yao ni kukaa mijini kupiga pesa tu?