TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

Lile kanisa la CCC upanga baada ya kifo Cha Mwenisongole linahitaji lipate Mchungaji toka makanisa makubwa yenye wasomi na viongozi wengi na ambayo kiongozi wake ana uzoefu mkubwa kwenye Mambo ya projects na jinsi ya kupata funds za projects kubwa

Pale wa kushika anafaaa awe Mchungaji Yared Dondo wa City Harvest au Askofu Mkuu mwenyewe Mtokambali Akubali kwenda Lile kanisa . Askofu mkuu Mtokambali analiweza bila shida Pia

Mwingine ninayemwona ana uwezo ni Mchungaji Rony Swai wa Dar es salaam Calvary Temple Lililoko Tabata

Askofu Mwenisongole kaacha kazi kubwa Bado kukamilika

Hao waombwe mmojawapo akashike pale .
 
Mkuu upo vizuri kwenye hiyo sekta.
mtokambali kanisa lake lipo wapi?
kwa swai nakupinga maana kanisa lake ni dogo sana.
labda dondo au kipilimba
 
Ni kweli ugomvi haukuhusu uaskofu

Tatizo ni kanisa la TAG kutokujua matumizi ya karama na huduma
Moses Kulola alikuwa mwinjilisti maisha yake yote hajawahi omba kuwa awe mchungaji au Askofu na wala hakutamani hivyo vyeo aliridhika TU na kuwa mwinjilisti tena bure hata bila kulipwa hata mia akialikwa alilala maporini alisafiri Kwa miguu mikoa na mawilaya kibao

Akialikwa hakula hata chakula alifunga siku zote za mkutano akipewa kahela sawa asipopewa sawa Hakudai Kanisa lilikua kwa kiwango cha kutisha kipindi chake maelfu waliokoka si kwa sababu wana shida za maisha waliokoka watu wenye vyeo na maisha wasiohitajo maombi yeyote au huduma ya maombezi . Mfano Hadi Professor ISSA Shivji aliokoka kwenye huduma ya Moses Kulola

Tofauti na sasa waokokaji wengi wanachi shida au changamoto za maisha

kipindi cha Kulola wanaookoka walikuwa wengi kuliko wanaohitaji huduma za maombi au maombezi kama ilivyo sasa wahitaji huduma za maombi na maombezi wengi waokokaji wachache

Aliifanya TAG kuwa kanisa kubwa la kipentecoste pekee lililoogopwa Hadi na serikali

Ukaundwa mkakati wa kuliua na kulivunja vunja vipande .Moses Kulola akapewa uchungaji na umakamu Askofu vyeo visivyoendana na huduma na karama zake .Wakaanza kumbana afanye zaidi kazi za uchungaji na umakamu Askofu sio uinjilisti akawa mkaidi kuwa hataki wachungaji wengine wakamuunga mkono vita ikaanza kuwa wachumgaji sasa kanisa litakuwa linalipa mishahara wachumgaji hivyo kunakuja uhamisho
Wachungaji wakorofi wa maeneo kama kinondoni mchungaji Mhina na Temeke mchungaji Masalu nk wakawa wa kwanza kupewa barua za kuhama!!! Vita ikaanza hapo Temeke kupitia choir wakagoma mchungaji kuondoka na ilitokea baada ya kuona kuwa Mchungaji Mhina wa kinondoni alipohamishwa nafasi yake imejazwa na mchaga Ndugu yake kabisa na Askofu Emmanuel Lazaro .Kanisa la Temeke wengi walikuwa wasukuma Taarifa zikasambaa kuwa Askofu katoa kabila ingine kinondoni kaleta mchaga mwenzie.Makanisa yenye wasukuma wengi yakagoma wachumgaji kuondoka ndipo ikaanza vita ya Sukuma gang vis chaga gang ndani ya TAG Wanyakyusa wakaunga Na Waha pia wakaunga mkono Kulola

Walipomfukuza Akaondoka na wachumgaji kibao wa kisukuma kinyakyusa na waha.Baadaye yakazaliwa madhehebu kibao ya watu ambao wote walikuwa TAG Kuna wale waliosema hatuko upande wa Kulola wala Emmanuel Lazaro wakafungua makanisa yao kibao.nguvu ya TAG ikasambaratika mission ikawa acommlishe
Hadi Leo TAG haijapata mwinjilisti mwenye nguvu ambaye alikuwa Billy Graham wa Tanzania kama Moses Kulola

Wangenwacha abaki tu kama Mwinjilisti kanisa la TAG Leo lingekuwa kubwa kuliko KKKT kwani wachumgaji na waumini wengi sana wa KKKT na Anglican walihamia TAG
Hii ni full chai.
Ukweli mdogo na ukapambwa na uongo mwingi mnoo.

Eti Kolola alikuwa hataki Uaskofu wa TAG bali alikubali ili kuwaridhisha watu tu!
Sasa ilikuwaje tena Kolola akaanzisha dhehebu lake la EAGT na huko akaenda kuwa askofu mkuu?
Kwa jinsi Kulola alivyokuwa mkali na mwenye misimamo isiyoyumba halafu akubali kufanya jambo ambalo halitaki ili kuwaridhisha watu!

Eti Kulola alikuwa hataki kulipwa mshahara akiwa TAG, vipi alipokwenda kuwa Askofu mkuu wa maisha wa EAGT na akawa anajilipa mshahara mnono na marupurupu kama yote?
 
Neno la Mungu linatutaka kuheshimu namlaka iliyo kuu kwa kuwa kila mamlaka imewekwa na Mungu.
Pia dini haipambanii mambo ya mwilini bali ya rohoni.
Nani aliyekudanganya kuwa mamlaka iliyo kuu ni hizi serikali zetu.

Hivi ujiulizi kwanini Yesu aligoma kuheshimu serikali ya kiyahudi iliyompiga marufuku kuhubiri injili katika jiji la Jerusalem ?

Hata Paulo aliyeandika hilo andiko hakuwahi hata mara kuheshimu serikali ya kirumi iliyompiga marufuku kuhubiri injili.

Kama wewe bado unaamini mamlaka iliyo kuu ni hizi serikali za nchi zetu, basi kaanze upya kufundishwa biblia, bado ni mchanga mnoo kiuelewa wa maandiko.
 
Duh kakobe aliwahi kuwa mshirika wa moses kumbe?
ilikuaje akahama?
na yeye aliwahi kusali temeke kwa masalu?
Hilo ni kweli, Kakobe alikuwa muumini mtiifu wa Kulola kabla ya 'kuasi' au kutimka kwenda kuanzisha dhehebu lake la FGBF.

Sababu za Kakobe kuhama ni mbili tu.
1. Pesa (Kuendelea kubanana pale pale kwa Kulola, Kakobe angeishia kuzeeka akiwa maskini akichakazwa na vumbi la madhabahu za EAGT, Kakobe akajiongeza...)

2. Ujuaji (Kakobe aligundua utitiri wa mapungufu ya dhehebu la EAGT, akaona isiwe shida, ngoja akaanzishe dhehebu lake jipya kuliko kung'ang'ania kufanya radical reform ndani ya EAGT)

Ndio mwendo wa Injili ya kujiongeza huo.
 
Lile kanisa la CCC upanga baada ya kifo Cha Mwenisongole linahitaji lipate Mchungaji toka makanisa makubwa yenye wasomi na viongozi wengi na ambayo kiongozi wake ana uzoefu mkubwa kwenye Mambo ya projects na jinsi ya kupata funds za projects kubwa

Pale wa kushika anafaaa awe Mchungaji Yared Dondo wa City Harvest au Askofu Mkuu mwenyewe Mtokambali Akubali kwenda Lile kanisa . Askofu mkuu Mtokambali analiweza bila shida Pia

Mwingine ninayemwona ana uwezo ni Mchungaji Rony Swai wa Dar es salaam Calvary Temple Lililoko Tabata

Askofu Mwenisongole kaacha kazi kubwa Bado kukamilika

Hao waombwe mmojawapo akashike pale .
Mchungaji Ron Swai tayari amehama DCT Tabata , sasa hivi yupo Kilimanjaro amepewa kulishika kanisa la Askofu Lazaro
 
Mchungaji Ron Swai tayari amehama DCT Tabata , sasa hivi yupo Kilimanjaro amepewa kulishika kanisa la Askofu Lazaro
Hivi hao wachungaji maarufu wa TAG huwa wanahamishwa au wanajihamisha wakijisikia tu?
 
Hivi hao wachungaji maarufu wa TAG huwa wanahamishwa au wanajihamisha wakijisikia tu?
Huwa wanaamishwa na Askofu Mkuu, na hii hutokana na Uhitaji wa kanisa fulani au mara nyingine ikitokea mtafaruku ndani ya uongozi wa kanisa huwa wanahamishwa
 
Pale TAG CCC Upanga kwanza anatakiwa aletwe Mchungaji Msomi ambaye ataendana na maono ya pale na awe na uwezo wa kuendesha project kubwa kubwa.

Askofu Mwenisongole ameondoka ameacha project ya ujenzi wa jengo la ghorofa floor 12, na ameacha limefikia floor ya tano, kwa hiyo Mchungaji atakayeletwa pale anatakiwa ahakikishe anakamilisha hiyo project.
Mpaka sasa hivi kanisa la TAG Upanga CCC lina thamani ya Shilingi Bilioni 8, mpaka ujenzi kukamilika thamani itafikia Shilingi Bilioni 15.
 
kwa wakati ule sawa kabisa....wewe unachukulia nyakati hizi....kipindi hicho hiyo benki ya taifa ya biashara ilikuwa ni ya serikali....ni mashirika ya UMMA yaliyoheshimika sana...na alijiunga hapo akitokea NAIROBI UNIVERSITY alikopata degree yake...imagine miaka hiyo ya sabini...degree holders wakutafuta nchini
Ok
 
Lile kanisa la CCC upanga baada ya kifo Cha Mwenisongole linahitaji lipate Mchungaji toka makanisa makubwa yenye wasomi na viongozi wengi na ambayo kiongozi wake ana uzoefu mkubwa kwenye Mambo ya projects na jinsi ya kupata funds za projects kubwa

Pale wa kushika anafaaa awe Mchungaji Yared Dondo wa City Harvest au Askofu Mkuu mwenyewe Mtokambali Akubali kwenda Lile kanisa . Askofu mkuu Mtokambali analiweza bila shida Pia

Mwingine ninayemwona ana uwezo ni Mchungaji Rony Swai wa Dar es salaam Calvary Temple Lililoko Tabata

Askofu Mwenisongole kaacha kazi kubwa Bado kukamilika

Hao waombwe mmojawapo akashike pale .
Wewe ndio unaona hvyo
Ila Mungu anaona tofauti na wewe
Watu makanisani mnaangalia mapesa TU hamiangalii roho za watu kuokolewa
 
Pale TAG CCC Upanga kwanza anatakiwa aletwe Mchungaji Msomi ambaye ataendana na maono ya pale na awe na uwezo wa kuendesha project kubwa kubwa.

Askofu Mwenisongole ameondoka ameacha project ya ujenzi wa jengo la ghorofa floor 12, na ameacha limefikia floor ya tano, kwa hiyo Mchungaji atakayeletwa pale anatakiwa ahakikishe anakamilisha hiyo project.
Mpaka sasa hivi kanisa la TAG Upanga CCC lina thamani ya Shilingi Bilioni 8, mpaka ujenzi kukamilika thamani itafikia Shilingi Bilioni 15.
Kwa hiyo malengo makuu ya CCC ya kipindi hiki ni kuwa na miradi mikubwa ya kiuchumi kuliko kuhubiri injili tena?
Hongera zao!
 
Back
Top Bottom