TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

Amekuwa askofu mkuu wa Tanzania Assemblies of God kwa miaka 14

Alichaguliwa baada ya kutokea mgogoro mkubwa wa kugombea uaskofu mkuu kati ya askofu Lazaro na askofu Moses Kulola, mgogoro huo ulipelekea Kanisa kugawanyika na askofu Kulola akajitenga na kuasisi EAGT.​


Karibu.

Wewe ni jiongo sana!​

Kila mahala unapwaya. Ongeza knowledge bro. Unatia aibu.​

Ni lini Moses Kulola na Emmanuel Lazaro walikuwa na mgogoro wa kugombea uaskofu?.​



 

Wewe ni jiongo sana!​

Kila mahala unapwaya. Ongeza knowledge bro. Unatia aibu.​

Ni lini Moses Kulola na Emmanuel Lazaro walikuwa na mgogoro wa kugombea uaskofu?.​



Hahahaaaa........ Mbwiga tujuze kwanini Moses Kulola aliondoka TAG?
 
Hayati...ni pale tunaporejea jambo alilofanya mfu enzi zake akiwa hai na marehemu inatumika zaidi wakati wa dua au sala kwa wale wanaoombea wafu.
 
Alikuwa kiongoz mkubwa serikali I?
Una uhakika
Alikuwa na cheo Gani
Mm nimewajk kunsikia alifanya kazi NBC ndio akaacha
BENKI YA TAIFA YA BIASHARA ILIKUWA 100% YA SERIKALI KIPINDI ANAACHA KAZI 1979 ALIKUWA MENEJA WA BENKI
 
Nimekuuliza kwanini Moses Kulola aliondoka TAG?

Matusi yanadhihirisha ulivyo mshamba wa migombani!

Kama hujui ungeuliza kabla ya kuongea uwongo!. Ndiyo sababu nakuambia wewe mwongo, na uache tabia za kuropoka mambo usiyoyajua!.
 
Kama hujui ungeuliza kabla ya kuongea uwongo!. Ndiyo sababu nakuambia wewe mwongo, na uache tabia za kuropoka mambo usiyoyajua!.
Kwanini unakwepa swali?

Kwanini Moses Kulola aliondoka TAG na kumwacha meku Lazaro akiugulia?
 
Kwanini unakwepa swali?

Kwanini Moses Kulola aliondoka TAG na kumwacha meku Lazaro akiugulia?
Wewe ndiye umekwepa swali. Acha tabia za kishetani shetani za kukwepa wajibu. Nimekuhoji TAngu mwanzo:-

NI LINI MOSES KULOLA NA EMMANUEL LAZARO WALIKUWA NA MGOGORO WA KUGOMBANIA UASKOFU? TAFADHARI JIBU SIYO JANJA JANJA. SITAKI SWALI LOLOTE KABLA HUJAJIBU SWALI HILI!.
ANDIKA UWONGO WAKO HAPA, NIKULIME KISAWASAWA KWA SABABU NINAJUA!.
 
Wewe ndiye umekwepa swali. Acha tabia za kishetani shetani za kukwepa wajibu. Nimekuhoji TAngu mwanzo:-

NI LINI MOSES KULOLA NA EMMANUEL LAZARO WALIKUWA NA MGOGORO WA KUGOMBANIA UASKOFU? TAFADHARI JIBU SIYO JANJA JANJA. SITAKI SWALI LOLOTE KABLA HUJAJIBU SWALI HILI!.
ANDIKA UWONGO WAKO HAPA, NIKULIME KISAWASAWA KWA SABABU NINAJUA!.
Kwa kifupi sana.

Kulola aligoma kumrejeshea uaskofu Lazaro na ndipo pazia lilipopasuka na hatimaye ikaundwa tume iliyoongozwa na mchungaji Mwenesongole by then, ambaye akaja kupewa huo uaskofu huku msomi meku Lazaro na Kulola wakitupwa pembeni.

Huu utaratibu ulioasisiwa na Mwenesongole ndio ulitumiwa na CCM kwa Dr Mkama na Dr Bashiru.

Kwa sababu umejaa mihemuko kama hamira sidhani kama umeelewa.
 
Kwa kifupi sana.

Kulola aligoma kumrejeshea uaskofu Lazaro na ndipo pazia lilipopasuka na hatimaye ikaundwa tume iliyoongozwa na mchungaji Mwenesongole by then, ambaye akaja kupewa huo uaskofu huku msomi meku Lazaro na Kulola wakitupwa pembeni.

Huu utaratibu ulioasisiwa na Mwenesongole ndio ulitumiwa na CCM kwa Dr Mkama na Dr Bashiru.

Kwa sababu umejaa mihemuko kama hamira sidhani kama umeelewa.
Sasa unaanza kuja kwenye mada:-

1. Naomba ufafanuzi kidogo. " Kulola alikataaa kumrejeshea Lazaro uaskofu" Imekaaje hapa? Kumrejeshea kwa maana alikuwa amemkaimisha akakataa ku handover, au ilikuwaje hadi uaskofu wa Lazaro akawa nao Kulola? Tafadhli fafanua.

2. Unamaanisha kwamba Baada ya Mwenisongole kuwa askofu ndipo Kulola na Lazaro wakatupwa pembeni, ndiyo Kulola akaondoka TAG?

3. Focus kwenye hoja, usiingize masuala ya ccm na mkama na acha kujivisha bullet proof!.
 

Wewe ni jiongo sana!​

Kila mahala unapwaya. Ongeza knowledge bro. Unatia aibu.​

Ni lini Moses Kulola na Emmanuel Lazaro walikuwa na mgogoro wa kugombea uaskofu?.​



Ni kweli ugomvi haukuhusu uaskofu

Tatizo ni kanisa la TAG kutokujua matumizi ya karama na huduma
Moses Kulola alikuwa mwinjilisti maisha yake yote hajawahi omba kuwa awe mchungaji au Askofu na wala hakutamani hivyo vyeo aliridhika TU na kuwa mwinjilisti tena bure hata bila kulipwa hata mia akialikwa alilala maporini alisafiri Kwa miguu mikoa na mawilaya kibao

Akialikwa hakula hata chakula alifunga siku zote za mkutano akipewa kahela sawa asipopewa sawa Hakudai Kanisa lilikua kwa kiwango cha kutisha kipindi chake maelfu waliokoka si kwa sababu wana shida za maisha waliokoka watu wenye vyeo na maisha wasiohitajo maombi yeyote au huduma ya maombezi . Mfano Hadi Professor ISSA Shivji aliokoka kwenye huduma ya Moses Kulola

Tofauti na sasa waokokaji wengi wanachi shida au changamoto za maisha


kipindi cha Kulola wanaookoka walikuwa wengi kuliko wanaohitaji huduma za maombi au maombezi kama ilivyo sasa wahitaji huduma za maombi na maombezi wengi waokokaji wachache

Aliifanya TAG kuwa kanisa kubwa la kipentecoste pekee lililoogopwa Hadi na serikali


Ukaundwa mkakati wa kuliua na kulivunja vunja vipande .Moses Kulola akapewa uchungaji na umakamu Askofu vyeo visivyoendana na huduma na karama zake .Wakaanza kumbana afanye zaidi kazi za uchungaji na umakamu Askofu sio uinjilisti akawa mkaidi kuwa hataki wachungaji wengine wakamuunga mkono vita ikaanza kuwa wachumgaji sasa kanisa litakuwa linalipa mishahara wachumgaji hivyo kunakuja uhamisho
Wachungaji wakorofi wa maeneo kama kinondoni mchungaji Mhina na Temeke mchungaji Masalu nk wakawa wa kwanza kupewa barua za kuhama!!! Vita ikaanza hapo Temeke kupitia choir wakagoma mchungaji kuondoka na ilitokea baada ya kuona kuwa Mchungaji Mhina wa kinondoni alipohamishwa nafasi yake imejazwa na mchaga Ndugu yake kabisa na Askofu Emmanuel Lazaro .Kanisa la Temeke wengi walikuwa wasukuma Taarifa zikasambaa kuwa Askofu katoa kabila ingine kinondoni kaleta mchaga mwenzie.Makanisa yenye wasukuma wengi yakagoma wachumgaji kuondoka ndipo ikaanza vita ya Sukuma gang vis chaga gang ndani ya TAG Wanyakyusa wakaunga Na Waha pia wakaunga mkono Kulola

Walipomfukuza Akaondoka na wachumgaji kibao wa kisukuma kinyakyusa na waha.Baadaye yakazaliwa madhehebu kibao ya watu ambao wote walikuwa TAG Kuna wale waliosema hatuko upande wa Kulola wala Emmanuel Lazaro wakafungua makanisa yao kibao.nguvu ya TAG ikasambaratika mission ikawa acommlishe
Hadi Leo TAG haijapata mwinjilisti mwenye nguvu ambaye alikuwa Billy Graham wa Tanzania kama Moses Kulola


Wangenwacha abaki tu kama Mwinjilisti kanisa la TAG Leo lingekuwa kubwa kuliko KKKT kwani wachumgaji na waumini wengi sana wa KKKT na Anglican walihamia TAG
 
Pumba tupu!
Tutajie kwa majina watu watano waliouwawa na Magufuli.
Af unataka Askofu aongelee mambo ya siasa, hujui kuwa Biblia imekataza kuchanganya siasa na dini?
Nyie bakini na hao wachungaji, mashehe,mapadri,maaskofu wanafki wanaokula kondoo na hawana misimamo ya wanachokihubiri.
Yes, Magufuli alikuwa ni Raisi bora sana na sahihi kwa wakati sahihi.
Pamoja na mambo yote aliyowahi kuyafanya, huyu Askofu hakuwa muadilifu kwa jamii kwa kipindi chote cha utawala wa Magufuli.

Huyu Askofu, yeye binafsi na kanisa lake la TAG waligeuka kuwa waongo na wanafiki ili kujipendekeza kwa Magufuli. Hawa maaskofu wa TAG na wapentekoste wengine ndio walifikia hatua ya juu ya unafiki ya kumuita na kumpa tuzo ya uadilifu Magufuli!

Wakati watanzania wakiuwawa, wakiteswa, kudhulumiwa na kufanyiwa kila ubaya na utawala wa Magufuli, huyu askofu na wenzake walikuwa kimya au kumimina pongezi kwa Magufuli.

Kwangu binafsi ninapenda kusema huyu Marehemu hakuwa tena na mchango wowote kwa jamii ya watanzania labda kwa dini yake.

Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, lakini ninasikitika kusema hapa kuwa, Marehemu hakuwa tena na faida yoyote kwetu kijamii, na bora amepumzika.
 
Msibani huwa yanaongelewa mengi mojawapo nililolisisikia ni je nani anatakiwa kushika Hilo kanisa baada ya kifo cha Mwenisongole ?


Wa kwanza kwenye maongezi msibani ni mchungaji Dondo msomi na ana kanisa kubwa la wasomi na viongozi wakubwa kama ilivyokuwa la Mwenisongole huyo aweza endana na vision na mission ya Mwenisongole


Mchungaji Yared Dondo Wa TAG CIty Harvest Church baadhi ya waumini wanataka aombwe ashike Hilo kanisa la CCC la marehemu Mwenisongole
 
Alikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji


Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect

Mtume Maboya alikuwa Askari

Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk

Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika


Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji
Moses Magembe hakuwa dokta bali alikuwa muuguzi kule Iringa
 
Back
Top Bottom