HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Wa kupewaU-Profesa aliupatia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kupewaU-Profesa aliupatia wapi?
NBCMwenisongole alikuwa Bank, kitu kama hicho
South Africa!U-Profesa aliupatia wapi?
Amekuwa askofu mkuu wa Tanzania Assemblies of God kwa miaka 14
Alichaguliwa baada ya kutokea mgogoro mkubwa wa kugombea uaskofu mkuu kati ya askofu Lazaro na askofu Moses Kulola, mgogoro huo ulipelekea Kanisa kugawanyika na askofu Kulola akajitenga na kuasisi EAGT.
Karibu.
Hahahaaaa........ Mbwiga tujuze kwanini Moses Kulola aliondoka TAG?Wewe ni jiongo sana!
Kila mahala unapwaya. Ongeza knowledge bro. Unatia aibu.
Ni lini Moses Kulola na Emmanuel Lazaro walikuwa na mgogoro wa kugombea uaskofu?.
Wewe lilpumbavu, wakala wa shetani? Ni kweli kwamba waligombwa uaskofu? Jibu swali wewe shetani!.Hahahaaaa........ Mbwiga tujuze kwanini Moses Kulola aliondoka TAG?
Nimekuuliza kwanini Moses Kulola aliondoka TAG?Wewe lilpumbavu, wakala wa shetani? Ni kweli kwamba waligombwa uaskofu? Jibu swali wewe shetani!.
UPO SAHIHI NBC -BENKI YA TAIFA YA BIASHARA, ALIACHA KAZI 1979Mwenisongole alikuwa Bank, kitu kama hicho
BENKI YA TAIFA YA BIASHARA ILIKUWA 100% YA SERIKALI KIPINDI ANAACHA KAZI 1979 ALIKUWA MENEJA WA BENKIAlikuwa kiongoz mkubwa serikali I?
Una uhakika
Alikuwa na cheo Gani
Mm nimewajk kunsikia alifanya kazi NBC ndio akaacha
Nimekuuliza kwanini Moses Kulola aliondoka TAG?
Matusi yanadhihirisha ulivyo mshamba wa migombani!
Kwanini unakwepa swali?Kama hujui ungeuliza kabla ya kuongea uwongo!. Ndiyo sababu nakuambia wewe mwongo, na uache tabia za kuropoka mambo usiyoyajua!.
Wewe ndiye umekwepa swali. Acha tabia za kishetani shetani za kukwepa wajibu. Nimekuhoji TAngu mwanzo:-Kwanini unakwepa swali?
Kwanini Moses Kulola aliondoka TAG na kumwacha meku Lazaro akiugulia?
Kwa kifupi sana.Wewe ndiye umekwepa swali. Acha tabia za kishetani shetani za kukwepa wajibu. Nimekuhoji TAngu mwanzo:-
NI LINI MOSES KULOLA NA EMMANUEL LAZARO WALIKUWA NA MGOGORO WA KUGOMBANIA UASKOFU? TAFADHARI JIBU SIYO JANJA JANJA. SITAKI SWALI LOLOTE KABLA HUJAJIBU SWALI HILI!.
ANDIKA UWONGO WAKO HAPA, NIKULIME KISAWASAWA KWA SABABU NINAJUA!.
Sasa unaanza kuja kwenye mada:-Kwa kifupi sana.
Kulola aligoma kumrejeshea uaskofu Lazaro na ndipo pazia lilipopasuka na hatimaye ikaundwa tume iliyoongozwa na mchungaji Mwenesongole by then, ambaye akaja kupewa huo uaskofu huku msomi meku Lazaro na Kulola wakitupwa pembeni.
Huu utaratibu ulioasisiwa na Mwenesongole ndio ulitumiwa na CCM kwa Dr Mkama na Dr Bashiru.
Kwa sababu umejaa mihemuko kama hamira sidhani kama umeelewa.
Ni kweli ugomvi haukuhusu uaskofuWewe ni jiongo sana!
Kila mahala unapwaya. Ongeza knowledge bro. Unatia aibu.
Ni lini Moses Kulola na Emmanuel Lazaro walikuwa na mgogoro wa kugombea uaskofu?.
Pamoja na mambo yote aliyowahi kuyafanya, huyu Askofu hakuwa muadilifu kwa jamii kwa kipindi chote cha utawala wa Magufuli.
Huyu Askofu, yeye binafsi na kanisa lake la TAG waligeuka kuwa waongo na wanafiki ili kujipendekeza kwa Magufuli. Hawa maaskofu wa TAG na wapentekoste wengine ndio walifikia hatua ya juu ya unafiki ya kumuita na kumpa tuzo ya uadilifu Magufuli!
Wakati watanzania wakiuwawa, wakiteswa, kudhulumiwa na kufanyiwa kila ubaya na utawala wa Magufuli, huyu askofu na wenzake walikuwa kimya au kumimina pongezi kwa Magufuli.
Kwangu binafsi ninapenda kusema huyu Marehemu hakuwa tena na mchango wowote kwa jamii ya watanzania labda kwa dini yake.
Ninatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, lakini ninasikitika kusema hapa kuwa, Marehemu hakuwa tena na faida yoyote kwetu kijamii, na bora amepumzika.
Moses Magembe hakuwa dokta bali alikuwa muuguzi kule IringaAlikuwa kiongozi mkubwa serikalini kabla ya kuacha kazi kwa hiari bila kustaafishwa wala kutumbuliwa akaenda kufanya kazi ya uchungaji
Zamani watu waliacha kazi kuwa wachungaji tofauti na sasa ambapo jobless hutafuta kuwa wachumgaji
Wachungaji. Wengi wa kilokole watu wazima wengi waliacha kazi zao nzuri TU kuwa wachumgaji watu kama Moses Kulola alikuwa architect
Mtume Maboya alikuwa Askari
Mtume na Nabii Mwingira alikuwa kiongozi KKKT
Moses Magembe alikuwa doctor nk
Kwa Sasa makanisa karibu yote makubwa kwa madogo yawe Katoliki,KKKT , Anglican, Pentecost nk yanachukua ma jobless na kuwapa uchungaji au upadri
Yesu hakuchukua mtu yeyote jobless na kumfanya mtume wote aliowaita walikuwa na kazi Zao za kuwaingizia vipato vya uhakika
Mwenisongole ni mmojawapo aliyeitwa ki kweli kweli akaacha kazi nzuri kwenda uchungaji