Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa MorogoroHuyo Malema hana tofauti na Bosi wangu mstaafu wa polishi. Mh. Inshpekta Homary Mayita.
Angalia Shepu ya kichwa, pua, mdomo, masikio, macho, kidevu hadi pozi zimefanana. Unaanza wapi kukataa ukweli?haya mambo yanaumbua hapo hata kukataa unaona aibu😂
Wapi Juma Mahita!?Huyo Malema hana tofauti na Bosi wangu mstaafu wa polishi. Mh. Inshpekta Homary Mayita.
Halafu kama kawaida Hawa wakuitwa "watoto haramu" wanakuwa kopi kabisa 100% ili jamaa asije kataa. Ona huyo Joseph Baena alivyofanana na baba yake hapo, tofauti kabisa na watoto wa kwenye ndoa.Hata Terminator Arnold Schwarzenegger naye aliharibu ndoa yake kwa kuzaa na msaidizi wa familia. Haya mambo ni magumu!
View attachment 2987915View attachment 2987916View attachment 2987917
Umesema kweli kabisa!Huyo Malema hana tofauti na Bosi wangu mstaafu wa polishi. Mh. Inshpekta Homary Mayita.
Kwani Julius kumla beki 3 ni jambo la ajabu?
Toto linaonekana litakua jeuri kama baba yake