Ngixolele Umoya
Senior Member
- Mar 26, 2017
- 108
- 142
Mimi pia ni mkristo, lakini je, unahisi wewe unaweza kuwa unamjua Yesu zaidi kuliko hao freemasons??? Hapo sasa siku ya mwisho unakutana na baba mchungaji, padre, askof au kiongozi wako wa kiroho, akikanwa hadharani na Yesu wetu......"tulitoa pepo kwa jina lako,.........nae akasema, Ondokeni kwangu sikuwajua......" my dear let's pray, if our Jesus is fake, then we'll lose nothing......!!!!!! Inaweza kushangaza tukamuona Sir Chande akitupungia mkono huku akielekea peponi, siamini kama wanapenda kwenda motoni...so, huenda alitubu. Let's not judgeSasa freemason nikajua wanauwezo wa kuzuia kifo kumbe holaa.
Yesu wangu anatosha kabisa nijapo kufa sitajutia.