TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Sasa freemason nikajua wanauwezo wa kuzuia kifo kumbe holaa.

Yesu wangu anatosha kabisa nijapo kufa sitajutia.
Mimi pia ni mkristo, lakini je, unahisi wewe unaweza kuwa unamjua Yesu zaidi kuliko hao freemasons??? Hapo sasa siku ya mwisho unakutana na baba mchungaji, padre, askof au kiongozi wako wa kiroho, akikanwa hadharani na Yesu wetu......"tulitoa pepo kwa jina lako,.........nae akasema, Ondokeni kwangu sikuwajua......" my dear let's pray, if our Jesus is fake, then we'll lose nothing......!!!!!! Inaweza kushangaza tukamuona Sir Chande akitupungia mkono huku akielekea peponi, siamini kama wanapenda kwenda motoni...so, huenda alitubu. Let's not judge
 
Industruliazation died the moment the second phase government tasked him to lead the privatization body....jamaa zangu wakapewa watanzania wa kiasia wakapewa viwanda....wakageuza godowns
 
Bila shaka wewe ni Sabbath, uko sawa.... Ni mtu aliye hai tu ndiye anayejua kuwa kuna siku atakufa, lakini aliyekufa hajui tena jambo lolote.....kama ilivyoandikwa baada ya kifo ni hukumu.......! Lakini sisi tulio hai leo ndio tunamuombea kwa Mungu wetu ampunzishe ndugu yetu kwa amani, Mungu alisema ombeni chochote mtapewa, God is never such a cruel, and we lose nothing kwa kumtakia ndugu yetu heri, we are brothers, lazima tuguswe na kifo kama binadamu wa kawaida, kuhusu namna aliyaishi maisha yake hiyo ni juu yake na Mungu wake!!!!!
 
Sasa freemason nikajua wanauwezo wa kuzuia kifo kumbe holaa.

Yesu wangu anatosha kabisa nijapo kufa sitajutia.
Hata Yesu aliteswa AKAFA (hayo ya kufufuka sina uhakika nayo)
 
Wewe vipi si keshatumia kwenye uhai wake!wewe maskini na midhambi unayo unaisoma namba duniani unaweza kuisoma namba kuzimu !omba mungu upate mwisho mwema tu kuhusu binadamu wenzetu tumwachie Mungu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…