TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Alikuwa na mchango gani kwa jamii kupitia hiyo taasisi yake ya kishwetani
 
Kul nafs dhaalika tul maut

Hapo ndipo atakapo jua kama kuna Mungu au laah

Na matusi yote kwenye jumuiya yao kuhusu Mungu leo yanamtokea puani

Na huko aliko atatamani arudi duniani aje afanye toba ila ndio hivyo haiwezekani
 
Wewe vipi si keshatumia kwenye uhai wake!wewe maskini na midhambi unayo unaisoma namba duniani unaweza kuisoma namba kuzimu !omba mungu upate mwisho mwema tu kuhusu binadamu wenzetu tumwachie Mungu!
Kunywa sprite nitalipa[emoji122] [emoji122] [emoji122] jibu zuri
 
Nakumbuka kuna mtu alisha wah kusema freemason n forever young
 
Kila nafsi itaonja mauti.Pumzika kwa amani Sir Chande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…