Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Muajirini sasa ili na nyie muifunge yanga.
Wekeni video au sauti yake akiwa anatamka hayo maneno, sio mnamlisha maneno
Anataguta public sympathy.....
Huyo bado ni kocha wa tabora, uwongo ukipanda lift, ukweli huanza kupanda ngazi
Wamekusikia Afisa MkamariaUtopolo hawajawai kumiliki akili vchwani mwao.
Wazo zuriMuajirini sasa ili na nyie muifunge yanga.