Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doe alikuwa ni Dikteta wa hatari kabisa na aliua sana Wananchi wa Liberia na ndiye chanzo cha kuporomoka kwa uchumi wa Liberia aliua wasomi wengi sana.Kama doe alikuwa dikiteta bas alistahili
Yaan mkuu hawa wenye tabia za akina S Doe hapa Africa hasa kipind cha miaka ya 60s- 90s ni wengi sana,sema wengne walbahatika kukmbia nchi zao walipopinduliwa au walkufa wakiwa na mamlaka yao, Ila kuna viongozu wengne wangeliwa nyama kbsaa na wanamapinduz.Doe alikuwa ni Dikteta wa hatari kabisa na aliua sana Wananchi wa Liberia na ndiye chanzo cha kuporomoka kwa uchumi wa Liberia aliua wasomi wengi sana.
Madikteta wa ColdWar wengine walisapotiwa na USSR na wengine US kama akina Mobutu.Yaan mkuu hawa wenye tabia za akina S Doe hapa Africa hasa kipind cha miaka ya 60s- 90s ni wengi sana,sema wengne walbahatika kukmbia nchi zao walipopinduliwa au walkufa wakiwa na mamlaka yao, Ila kuna viongozu wengne wangeliwa nyama kbsaa na wanamapinduz.
Hao wanamapinduzi mbona ndio future ya hao hao madikteta ? There is nothing wrong with Dictatorship so long as you are the Dictator... (Sage words indeed);Yaan mkuu hawa wenye tabia za akina S Doe hapa Africa hasa kipind cha miaka ya 60s- 90s ni wengi sana,sema wengne walbahatika kukmbia nchi zao walipopinduliwa au walkufa wakiwa na mamlaka yao, Ila kuna viongozu wengne wangeliwa nyama kbsaa na wanamapinduz.
Nkwel kbsaa!lkn hivu vitendo walvyokuw wakiwatendea wananchi wao vilitoa taswira ya udhaifu wa akili ya mtu mweusi(mwafrica).Na hii imewafanya wajue jinsi gani ya kundeleza ukoloni mambo leo kupitia viongoz.Yaani kuna viongoz ambao wangeweza tawaliwa na waafrica wenzao kirahisi mno.Madikteta wa ColdWar wengine walisapotiwa na USSR na wengine US kama akina Mobutu.
Samia anaurudia utawala wa Samuel Doe uliopelekea vita vya wao Kwa waoLeberia kuna kipindi ilipitia nyakati ngumu sana.
mpaka Alpha Blond aliimba peace Monrovia, peace Liberia
😄😄😁😁 DaaPrince Johnson atakumbukwa kwa kuuondoa Utawala wa Kidikteta wa Samuel Doe.
Americo Liberians walikuwa wanalipa kisasi dhidi ya Wakrahn.Jamaa alikuwa anakunywa bia huku Rais Doe akilia kwa maumivu ya kukatwa sikio.
Walimuua kikatili sana rais Samuel doe.Haikustahili kumdhalilisha namna hiyo hata kama alikuwa dikteta.Bora wangemfunga tu na siyo kama walivyofanya kumkata viungo vya mwili wake.
Americo Liberians walikuwa wanalipa kisasi dhidi ya Wakrahn.
inini huyu jamaa huyu jamaa hakushitakiwa ICC kama mwenzake chalz TaylorAliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa Seneta na Mfalme wa kisiasa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.
Msemaji wa familia Wilfred Bangura amethibitisha kuwa Johnson, alikuwa na shinikizo la damu kabla ya kufariki Dunia.
Zaidi ya watu 200,000 waliuawa, maelfu zaidi wakipata ulemavu na kubakwa na zaidi ya Milioni Moja walikimbia makazi yao wakati wa vita vya kikatili vya wenyewe kwa wenyewe nchini Liberia kati ya 1989 na 2003, ambapo Johnson alihusika.
Johnson alipata umaarufu baada ya watu wake kumkamata, kumtesa, na kumkata viungo vya mwili Rais wa zamani Doe kabla ya kumuua.
#KitengeUpdates
tena akaishi maisha ya kimasikini balaa mpaka wake zake walimkimbia kwa ufukaraMiongoni mwa maraisi waliopinduliwa na wakabaki salama uraiani tena bila ulinzi wowote ni Valentine Strasser wa Siera Leon.