Aliyekuwa Mbunge Moshi Mjini Japhari Michael: Genge la Mbowe limeumiza watu wengi ndani ya CHADEMA

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
"Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza.

Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda.

Hawa wanaomzunguka Mbowe ndio wanasababisha uhasama mkubwa ndani ya Chadema na ndio hao wanatengeneza majungu na fitina ndani ya Chama, Peter Msigwa Msigwapeter alikuwa sehemu yao na miongoni mwao.Kuna watu wamekaa muda mrefu @ChademaTz kiasi kwamba wanajiona Chadema ni mali yao akiwemo Mbowe mwenyewe.

Kama Mbowe hamtaki mtu,atamshughulikia tu hata kama huyo mtu ana weledi wa kiwango cha juu sana.
Watu kama Waitara, Lijualikali na hata Msigwa mwenyewe huenda leo wasingelikuwa nje ya Chadema kama sio tabia ya Mbowe kumuandama mtu pale anapopewa taarifa kwamba hamuungi mkono hata kama ni za uongo ndio maana aliponichukia niliona nipumzike siasa ili chama ndani ya Jimbo langu la Moshi Mjini kibaki salama.

Mimi nimeshaumizwa sana na Mbowe na genge lake akiwemo Peter Msigwa, nimeumizwa bila kosa lolote lakini kwangu mimi nimeapa kuilinda Chadema mpaka mwisho wa maisha yangu.sijawahi kuwa msaliti kwa Chadema na wala sitakuwa msaliti kwa Chadema,

Mbowe na timu yake wametuumiza wengi lakini CCM imewaumiza Watanzania walio wengi, Mbowe atapita lakini Chadema itabaki kuwa imara kwa ajili ya ukombozi wa Taifa hili ambalo liko chini ya mikono ya CCM iliyojaa udhalimu wa kutisha"

Maneno ya aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi na baadae Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Japhari Michael alipokuwa akizungumzia minyukano inayoendelea ndani ya Chama hicho

Chanzo jambo tv

Snapinsta.app_469509236_587511920332371_3415530248595870006_n_1080.jpg
 
The End Justifies the meaning
 
Mbowe kageuka kibaraka wa watawala
Amegeuka au alikuwa? Chadema ni chama kinapendwa sana kutokana na umahiri wa viongozi wake na sifa njema.

Lakini hatukujua tunaongozwa na mtu anayeweza kutuuza Roho kwa maslahi yake na watu wake wachache.
 
Mifano ya watu makini alio waona ni Waitara, Lijualikali, Msigwa na yeye mwenyewe?

Amandla...
 
Back
Top Bottom