Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa


Sio lazima uwe umesema ukweli kwa asilimia mia moja, lakini nanusa harufu ya mwelekeo wa ukweli. Hilo la kwamba Slaa anataka cdm ife kwa sababu ya tofauti yake na Mbowe, pia liko wazi. Ngoja tunywe mtori nyama tutazikuta chini. Sasa nimejua kwanini hata mbunge wa Karatu kaondoka cdm.
 
Huyu aliuza jimbo wakishilikiana na Mashinji
 
Huwa nawashangaa sana wanaomuona Slaa ndie alikuwa kiongozi mahiri wa upinzani, eti bila yeye CDM ilipoteza dira, utaweza vipi kuniaminisha mtu aliyepewa ulinzi na TISS baada ya kuondoka Chadema alikuwa mzalendo? mtu aliegaramiwa malazi na chakula hotelini baada ya kuondoka Chadema awe mzalendo?!

Yule mzee ni nyoka mbaya zaidi ya wengi wanavyodhani, alivyokuwa CDM alikuwa anajinasibu ana marafiki zake TISS waliokuwa wanampa taarifa nyeti za serikali wakati ule, then baada ya Lowasaa kwenda upinzani hao rafiki zake wakamwambia huu sasa ndio wakati wako wakutusaidia na sisi, ondoka CDM upunguze nguvu ya UKAWA, jambo ambalo alilifanya, huku akijinasibu kuacha siasa, halafu kwa mlango wa nyuma akirudi kupewa kazi na walewale aliokuwa akiwaponda muda wote akiwa upinzani!
 
Viva Mbowe nikikumbuka ukisema ya Nassar tumwachie mwenyewe sawa huyu Mmeru keshaaondoka zake.

Nakumbuka ile vita ya Wameru na kanisa walivyo, naishia hapo

Nyani haoni kundule
 

Mimi ni CCM... Niseme wazi kuwa CHADEMA ndio chama bora cha upinzani na bado kinaendelea kuimarika.
 
Bibi Kutoka Kijiji Cha Ngongongare, kata ya Embasenyi Jimbo la Arumeru Mashariki Amesema " Bora Joshua Nasari Angefariki na Ajari ya helikopta 2015 Wameru Wakamzika, Kuliko Kifo alichokufa jana 2020.[emoji174][emoji174]
 
 
Apandacho mtu ndicho atakachovuna.
 
Siasa za bongo ni ngumu sana na sometimes hazieleweki. Wananchi tumeendelea kuchanganywa na hawa jamaa kila kukicha
 
Dogo janja amesoma upepo akaona Ni Bora kuungana nao maana upande wa upinzani hauna hoja Tena zaidi ya uanaharakati tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…