Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.
Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
Aliuza kwa style yakeHuyu aliuza jimbo mapema sana akajifanya mdogo janja
Mkuu watu wapo eneo la tukio Arusha ofisi za makao makuu arusha..subiria taarifa ya habari usikuHiyo picha hapo juu ni ya cku nyingi...hajajiunga bhana ni uzushi tu
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.
Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.
View attachment 1500768
Joshua Nassari akiwa anaingia kwenye Ofisi za CCM
View attachment 1500769
Kila nikirudia kusoma ulichoandika kwenye para ya pili sikielewi, yaani kupona kwa CDM kunategemea kuungana na ACT?! how? hao ACT wana nguvu gani Tz Bara compare na Chadema? Na kama jamaa wamepanga kuwanyima wagombea wa Chadema ushindi kwa lazima, huo muunganiko wa CDM na ACT ndio utasaidia nini kwa CDM? Na huo uwepo wa Membe utasaidia nini kuondoa hiyo hali kama Lowassa na nguvu zake alishindwa?Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.
Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
Umeandika point ambayo Chadema inabidi ikubali pia ,kiukweli Chadema imepoteza Wana mikakati imara na interejensia ndio maana wanayumbaWabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.
Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
Na nyie mnasugua bench tu kushangilia wahamiaji haramu wakila shavu.Ukiangalia alivyopokelewa utajua tu huyu kijana anarudi tena kwenye kiti chake cha ubunge kupitia CCM mpya ya Magufuli.
Wanakuja huko kuwafundisha siasa coz nyie hamjui kitu.Hivi hawa wana Faida gani kwa Chama chetu CCM.!
Hakika na majimbo ya mwambao wa Pwani ACT mengi atachukua na kidogo Kanda ya MagaharibiKuna majimbo hata wasipoungana na ACT ,Chadema lazima ishinde Arusha,Hai,Mbeya Mjini,Tarime etc
Yes MEMBE ni Mtaji kwasasa!! Naunga mkono hoja.
Jaribu kuulizia vzr mkuu...jamaa naamini wanatuchezesha akili tu...mbona walioko arumeru wanapinga kuwa c kweli??