Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.

Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.

Kuna majimbo hata wasipoungana na ACT ,Chadema lazima ishinde Arusha,Hai,Mbeya Mjini,Tarime etc

Yes MEMBE ni Mtaji kwasasa!! Naunga mkono hoja.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru ,Joshua Nasari(Chadema) na kung'olewa na Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano Tanzania,Job Ndugai na kuzua utata mkubwa katika kuondolewa kwake,ametangaza kujiunga na chama cha mapinduzi na kupokelewa na mwenyekiti wa uvccm Taifa ,Kheri James.

Nasari amekishukuru chadema kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote,kilichopo mbele yake ni kumsaidoa rais John Magufuli.

IMG_20200708_131207.jpg
IMG_20200708_123637.jpg
IMG_20200708_120410.jpg
 
Haya kumekucha, wafia chama pokeeni wageni wateule hao.....mshaambiwa ni marufuku kura za maoni katika majimbo yote ya walikotoka hawa wahamiaji...mpo???
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.

Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.

View attachment 1500768
Joshua Nassari akiwa anaingia kwenye Ofisi za CCM

View attachment 1500769

Ametimiza Haki yake ya Kikatiba kama vile ambavyo hata Lazaro Nyalandu nae aliitimiza pale alipotoka CCM na Kutimkia zake pia huko CHADEMA.
 
Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.

Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
Kila nikirudia kusoma ulichoandika kwenye para ya pili sikielewi, yaani kupona kwa CDM kunategemea kuungana na ACT?! how? hao ACT wana nguvu gani Tz Bara compare na Chadema? Na kama jamaa wamepanga kuwanyima wagombea wa Chadema ushindi kwa lazima, huo muunganiko wa CDM na ACT ndio utasaidia nini kwa CDM? Na huo uwepo wa Membe utasaidia nini kuondoa hiyo hali kama Lowassa na nguvu zake alishindwa?

Hebu wacha utani.
 
Hawa wote wanovihama vyama vyao dakika za mwisho, ilipaswa kutopewa kabisa fursa za kugombea...

Ni dalili kuwa ni wabinafsi na wapo kimadaraka tu zaidi
 
Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.

Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
Umeandika point ambayo Chadema inabidi ikubali pia ,kiukweli Chadema imepoteza Wana mikakati imara na interejensia ndio maana wanayumba

Yote kwa yote , Zito ni mwanasiasa mwenye akili kwa kizazi hiki cha upinzani wa Sasa , Chadema walikosea Sana kumfukuza wangemvumilia Sasa hivi wangekuwa mbali sana
 
subiri waje wanataka tume huru wao hawataki wanachama
 
CDM kila siku watu muhimu wanaikimbia..
 
Back
Top Bottom