Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.
Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
Kuna majimbo hata wasipoungana na ACT ,Chadema lazima ishinde Arusha,Hai,Mbeya Mjini,Tarime etc
Yes MEMBE ni Mtaji kwasasa!! Naunga mkono hoja.