Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa


akirudi mtampokea tu
 

Good: Kwahiyo ina maaana vyama vya upinzani mmefikiria mpaka mwisho mkaamua kumchukua mtu wa CCM wape siti nyingi bungeni aisee kweli nmeamini, sasa nyie kama upinzani mna manufaa gan kama mnasubiria mtu wa CCM awajenge?
 
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki #JoshuaNassari ameonekana kwenye mkutano wa chama cha Mapinduzi @ccm_tanzania Mkoani Arusha, Tetesi ni kwamba anaweza kukikacha chama cha Demokrasia na maendeleo @ChademaTz na kujiunga na @ccm_tanzania.

#Niliwahi Sema Mkabisha.

 
Acha hasira, si mlikuwa mnaulizia lile kundi litalojiunga Ccm hamlioni? Subirini muone wanavyohama.
Hii ndio ishara tosha kwamba vyama vya upinzani vimesheheni vipaji,vimesheheni watu wenye upeo, Wabunge wamemaliza muda wao,sasa hivi wamestaafu wote, mikataba imeisha, lakini angalia wale walio kuwa upinzani wakijiunga na ccm, ccm wanavyo wapatia makaribisho makubwa,angalia Lijua likali,angalia Silinde,angalia Nasar, hii inaonyesha upinzani kuna vipaji vya hali ya juu,ccm wanalijua hilo.

Hata hivyo,vipaji vinaandaliwa na kulelewa ,kwahiyo wapinzani na vijana kwa ujumla,msikate tamaa,jiunge na upinzani sasa hivi,mtapata soko la kisiasa mbele ya safari.

Mkipitia ccm mmekwisha, watu watatoka upinzani kuchukua nafac zenu na watapitishwa bila kupingwa kwenye kura za maoni wakati ninyi mnaendelea kufia chama.

Imarisheni vyama vya upinzani mtengeneze soko lenu kisiasa
 
Hakuna anaependezwa na majungu na kutunga uowongo kama sio mfuasi wa shetani!
 
Kwa hiyo unajisahaulisha kuwa wamekimbia utapeli mliowafanyia? Kukwapua michango yao na kula bata Chako ni chako.
 
Hawa walishawahi kujiuliza siku Yesu anadoka madarakani wataishi vipi? [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…