Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Nasaruu ni mfano wa vijana wapumbavu wa nchi hii!! wakati vijana kwa mamilioni wakiteseka na njaa na ukosefu wa ajira yeye akapata ajira kubwa nchi hii inayolipa ya ubunge!! akaidharau akapuuza kuhudhuria vikao wakamtupia virago!

Bahati haiji mara mbili!! huyu amekwisha habari yake!! hana mvuto tena hana maajabu!

Kwanza alipata demu wa kizungu aliempenda sana eti lilivyo jinga likamtosa kwa kujaa kiburi cha ubunge pumbavu kabisa huyu kijana!!

akirudi mtampokea tu
 
Capture.JPG
 
Wewe kweli JUHA , Lowassa ndiye aliyefanya mpaka Ukawa ikapata wabunge wengi sana 2015 ,Lowassa ndiye aliyefanya CDM ikapata Kura zaidi ya 6m+ na hivyo kuongeza Boom na Special seats kamwe faida hizo hauwezi kusema ni UTOPOLO, Wewe Mlamba viatu hauujui Mziki wa Lowassa ,anayejua Mziki wa Lowassa ni Lubuva,Jecha na JPM na ndio maana Msajili wa vyama kaja na sheria mpya inayokataza vyama kuungana,unajua kwanini? Ukipata jibu nenda kapupu ukalale!!

Good: Kwahiyo ina maaana vyama vya upinzani mmefikiria mpaka mwisho mkaamua kumchukua mtu wa CCM wape siti nyingi bungeni aisee kweli nmeamini, sasa nyie kama upinzani mna manufaa gan kama mnasubiria mtu wa CCM awajenge?
 
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki #JoshuaNassari ameonekana kwenye mkutano wa chama cha Mapinduzi @ccm_tanzania Mkoani Arusha, Tetesi ni kwamba anaweza kukikacha chama cha Demokrasia na maendeleo @ChademaTz na kujiunga na @ccm_tanzania.

#Niliwahi Sema Mkabisha.

IMG-20200708-WA0223.jpg
 
Acha hasira, si mlikuwa mnaulizia lile kundi litalojiunga Ccm hamlioni? Subirini muone wanavyohama.
Hii ndio ishara tosha kwamba vyama vya upinzani vimesheheni vipaji,vimesheheni watu wenye upeo, Wabunge wamemaliza muda wao,sasa hivi wamestaafu wote, mikataba imeisha, lakini angalia wale walio kuwa upinzani wakijiunga na ccm, ccm wanavyo wapatia makaribisho makubwa,angalia Lijua likali,angalia Silinde,angalia Nasar, hii inaonyesha upinzani kuna vipaji vya hali ya juu,ccm wanalijua hilo.

Hata hivyo,vipaji vinaandaliwa na kulelewa ,kwahiyo wapinzani na vijana kwa ujumla,msikate tamaa,jiunge na upinzani sasa hivi,mtapata soko la kisiasa mbele ya safari.

Mkipitia ccm mmekwisha, watu watatoka upinzani kuchukua nafac zenu na watapitishwa bila kupingwa kwenye kura za maoni wakati ninyi mnaendelea kufia chama.

Imarisheni vyama vya upinzani mtengeneze soko lenu kisiasa
 
Hakuna anaependezwa na majungu na kutunga uowongo kama sio mfuasi wa shetani!
 
Hii ndio ishara tosha kwamba vyama vya upinzani vimesheheni vipaji,vimesheheni watu wenye upeo, Wabunge wamemaliza muda wao,sasa hivi wamestaafu wote, mikataba imeisha, lakini angalia wale walio kuwa upinzani wakijiunga na ccm, ccm wanavyo wapatia makaribisho makubwa,angalia Lijua likali,angalia Silinde,angalia Nasar, hii inaonyesha upinzani kuna vipaji vya hali ya juu,ccm wanalijua hilo.

Hata hivyo,vipaji vinaandaliwa na kulelewa ,kwahiyo wapinzani na vijana kwa ujumla,msikate tamaa,jiunge na upinzani sasa hivi,mtapata soko la kisiasa mbele ya safari.

Mkipitia ccm mmekwisha, watu watatoka upinzani kuchukua nafac zenu na watapitishwa bila kupingwa kwenye kura za maoni wakati ninyi mnaendelea kufia chama.

Imarisheni vyama vya upinzani mtengeneze soko lenu kisiasa
Kwa hiyo unajisahaulisha kuwa wamekimbia utapeli mliowafanyia? Kukwapua michango yao na kula bata Chako ni chako.
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu,
Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa Arusha.

Amesema kuwa haikuwa kazi rahisi hata kidogo kufanya hayo maamuzi na akasema kuwa amekwenda Chama Cha Mapinduzi mchana kweupena si usiku kwa sababu moja tu, anachokifanya na alichokuwa anafanya ni swala lililowazi lenye mwanga na la kuelekeza.

Amesema kuwa hakwenda kuzunguza na wao kwa kuwa wamevaa kijani labda kuna kitu anataka hapana ila ni kwa sababu anaipenda nchi yake amesema angeamua kubaki huko duniani atengeneze pesa au kuitunza familia yake na afanye kazi akiwa huko duniani, wamsome kwenye magezati ya kimaaifa akiwa huko angeweza.

Nasari amekishukuru CHADEMA kwa kumlea tangia akiwa mdogo na sasa ameamua kutumikia nchi yake na sina nia ya kugombea nafasi yoyote, kilichopo mbele yake ni kumsaidia Rais John Magufuli.

Siku zote nafanya siasa za kiungwana. Nimeshawaandikia barua Chadema na kiukweli naishukuru Chadema ilinichukua nikiwa mdogo wakanisikiliza wakaona kuna potential ndani yangu. Nawashukuru kwa kunilea nitakuwa mjinga kama sitoikumbuka historia." - Joshua Nassari

View attachment 1500808
Joshua Nassari nakiwa na Willy Qulwi Qambalo​

Hawa walishawahi kujiuliza siku Yesu anadoka madarakani wataishi vipi? [emoji3]
 
Back
Top Bottom