Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Hivi CCM na vyama vya Upinzani sini kampuni moja tu?
 
[SUB]Haaaa na huyu nne anaunga Juhudi za jiwe, tutaona mengi mwaka huu kabakia nyarandu tu kurudi kundini[/SUB]

Njaa mbaya sana jmn acheni tu, simshangai kurudi penye uhakika wa kula
 
Good: Kwahiyo ina maaana vyama vya upinzani mmefikiria mpaka mwisho mkaamua kumchukua mtu wa CCM wape siti nyingi bungeni aisee kweli nmeamini, sasa nyie kama upinzani mna manufaa gan kama mnasubiria mtu wa CCM awajenge?
Nyerere mwenyewe alisema CCM sio Mama yake sasa Membe au Lowassa ni nani afie CHAMANI? Kuna haja gani ya kuendelea kuwa kwenye chama ambacho kinakutukana muda wote? Au ulisahau ENL alivyokuwa anatukana na kina Nape na Makonda?
 
Kweli mkuu, si huyu Mrema wa sasa hivi, ubongo ameutupa pale mto Karanga. Wakati wa vita gari ya balozi Peter Kaaya ilipiga kazi kishenzi.


Yes huyo alikuwa wa kipindi kile huyu wa sasa hivi tumsamehe bure kabisa
 
[SUB]Haaaa na huyu nne anaunga Juhudi za jiwe, tutaona mengi mwaka huu kabakia nyarandu tu kurudi kundini[/SUB]

Njaa mbaya sana jmn acheni tu, simshangai kurudi penye uhakika wa kula
Safu mpya ya utawala
 
Wanasiasa wengi wanatuaminisha wasicho amini,wamegeuka wachu'uzi wanatazama nini kinalipa sokon,kama uliathirika kwa namna yeyote kwa imani yako juu ya Nassari pole sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my MRD-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii itaongezaje ugali wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…