Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni ya nnHivi CCM na vyama vya Upinzani sini kampuni moja tu?
WanasiasaKampuni ya nn
Nanyi mtarudi na mizigo yenu kwani hata sisi tumebeba ya kwetu (Prof. Hammo Kenyan Comedian)Njooni Msumbukao Na Mizigo.......😅😀😁😂
Nyerere mwenyewe alisema CCM sio Mama yake sasa Membe au Lowassa ni nani afie CHAMANI? Kuna haja gani ya kuendelea kuwa kwenye chama ambacho kinakutukana muda wote? Au ulisahau ENL alivyokuwa anatukana na kina Nape na Makonda?Good: Kwahiyo ina maaana vyama vya upinzani mmefikiria mpaka mwisho mkaamua kumchukua mtu wa CCM wape siti nyingi bungeni aisee kweli nmeamini, sasa nyie kama upinzani mna manufaa gan kama mnasubiria mtu wa CCM awajenge?
Kweli mkuu, si huyu Mrema wa sasa hivi, ubongo ameutupa pale mto Karanga. Wakati wa vita gari ya balozi Peter Kaaya ilipiga kazi kishenzi.
Hai awapati. Wapare na wamasaai.KIA na relini kwa Wapare. Wamehamia CCM. Machame kati tu. Lyamungo hawamtaki tena MboweKuna majimbo hata wasipoungana na ACT ,Chadema lazima ishinde Arusha,Hai,Mbeya Mjini,Tarime etc
Yes MEMBE ni Mtaji kwasasa!! Naunga mkono hoja.
Kwahiyo mlitaka asihame? Amevunja katiba ipi?
Nassari hajahama leo kama unavyodhaniKwahiyo mlitaka asihame? Amevunja katiba ipi?
La kheri. Tutazidi kuonana!Na aende tu
Nassari hajahama leo kama unavyodhani
Atapewa udas au udc labdaNi haki yake, Mungu amsaidie huko chama kipya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa ndio nimeamini, kumbe ile strategy yake ya kuwa mtoro bungeni ilikuwa "project" waliyoitengeneza ili akimbie Chadema.
Nilidhani kajamaa kameishia tu kuwa na sura ya kitoto, kumbe mpaka akili, binafsi nilimshangaa sana kwa lile kosa la kitoto alilofanya wakati ule, kumbe alitumwa.
Hii itaongezaje ugali wakoWabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.
Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.