GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Aliyekuwa Mbunge wa Momba (2015-2020), David Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Mbeya


Mbozi.jpg
 
Anang'olewa na nani?huyu Mataga hafiki hata tano bora,si alijifanya eti kwao wamempokea,lakini sasa anaogopa hata kuludi momba alikozaliwa
Majuzi kwny ziara ya waziri mkuu Silinde anaeleza mambo ya Sgr,Stigler's,flyover jamaa wa momba hata hawamuelewi wanasema hayo ni mambo ya huko dar tueleze mambo ya hapa.
 
Back
Top Bottom