😂😂😂😂Hatari sanaMajuzi kwny ziara ya waziri mkuu Silinde anaeleza mambo ya Sgr,Stigler's,flyover jamaa wa momba hata hawamuelewi wanasema hayo ni mambo ya huko dar tueleze mambo ya hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Hatari sanaMajuzi kwny ziara ya waziri mkuu Silinde anaeleza mambo ya Sgr,Stigler's,flyover jamaa wa momba hata hawamuelewi wanasema hayo ni mambo ya huko dar tueleze mambo ya hapa.
Mwenye jimbo karudi... na amesha tia nia tayari.Kwanini kakimbia jimbo la Momba?
Momba kamwachia Lijualikali?Safi sana. Ni haki yake kama raia. Hakuna sheria anavunja.