Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

Halafu hili ndilo litawaangusha wengi watakapoenda kutumia mambo ya Dar kwenye majimbo ambayo hata hawajui rangi lami ikoje" Naiona Chadema inapaa mawinguni, sababu chadema hudili na maisha ya watu husika
Majuzi kwny ziara ya waziri mkuu Silinde anaeleza mambo ya Sgr,Stigler's,flyover jamaa wa momba hata hawamuelewi wanasema hayo ni mambo ya huko dar tueleze mambo ya hapa.
 
Jamaa anatoa form huku moyoni akijua silinde hawezi kutoboa Tunduma maana wageni kule hawatakiwi hata
Ameshapita, agizo toka juu ni kwamba asitokee mwanaccm yoyote kuchukua form kwenye Jimbo ambalo kuna Mbunge aliyenunuliwa toka Chadema ila wapiga kura watamnyuka kinyama kwenye sanduku la.kura.
 
Back
Top Bottom