Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

Safi sana. Ni haki yake kama raia. Hakuna sheria anavunja.
 
Eheeeee Hapo pazuri sana hapo
 
Anang'olewa na nani?huyu Mataga hafiki hata tano bora,si alijifanya eti kwao wamempokea,lakini sasa anaogopa hata kuludi momba alikozaliwa
Majuzi kwny ziara ya waziri mkuu Silinde anaeleza mambo ya Sgr,Stigler's,flyover jamaa wa momba hata hawamuelewi wanasema hayo ni mambo ya huko dar tueleze mambo ya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…