Nelly Mtengwa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 371
- 415
Hatuna namna mbele za Mungu, R.I.P waziri wa elimu mstaafu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga sana huyu Jamaa, akili za wapi sijui. Restini in Peace wazee wetuNi upumbavu wa hali ya juu kila kifo kuhusisha na siasa... Ktk ukoo wenu wote waliokufa walikuwa wanarudisha nyuma maendeleo ya taifa?
Tuwasubiri ULIPO TUPO watuambie huyu naye alisema nini kuhusu Lowassa.
Kama wote tutakufa basi tusiwaseme wengineKuna watu humu ni kama vile hawatakufa. Labda niwakumbuahe tu, hakuna mtu anayekufa kwa sababu alimsema mtu yoyote au hakuna mtu ambaye hatakufa eti kwa sababu hakumsema mtu fulani.
Kifo ni cha kila mwanadamu, cha msingi unaposikia mwenzako amekufa, ujue wewe ndio unafuata na ujiulize umejiandaaje siku yako ikifika sawa sawa na imani yako? Yule aliyekufa hawezi kurudi, so whether umseme vibaya au vizuri, haitakusaidia. Tuweni binadamu.
Pole kwa wakiwa wote
Kuna yule mpiga pushup sasa hivi anatetemeka kama tetemekoTuwasubiri ULIPO TUPO watuambie huyu naye alisema nini kuhusu Lowassa.
Mungu anasawazisha pori apande mbegu mpya.Hiki ni nn jameni kule Zanzibar misiba huku pia misiba duh
Hajawahi kutokea waziri mzuri wa elimu Tanzania kama Jackson Makweta.Ilikuwa awamu nyingine ya mchonga, wakati Sokoine akiwa waziri mkuu.
Duh..Mungu anasawazisha pori apande mbegu mpya.
Tena ukute ulikua waziriR. I. P Mzee Joseph