Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyo mkuuKuna yule mpiga pushup sasa hivi anatetemeka kama tetemeko
Makamanda nao wamepata pigo sana hawa ni miongoni mwa wazee watatu wenye nguvu kubwa kisiasa waliohamia CHADEMA mwaka jana. Wengine ni Lowassa na Sumaye. R. I. P Kamanda MunghaiTunashukuru kwa mema yote aliyotufanyia watanzania ,kwa mabaya aliyotufanyia tunamsamehe maana hatunaye tena hata tukiyashupalia hasikii wala hatuoni.poleni wafiwa.Mungu amuweke panapomstahili
hana tunalomkumbuka nalo lolote jema, kaua elimu mkenya huyu, tunashukuru mungu hana upendeleo, hatuna kilio chochote, watoto wetu wanagalagala mitaani matokeo ya ubaya wake, aende anakostahiliTunashukuru kwa mema yote aliyotufanyia watanzania ,kwa mabaya aliyotufanyia tunamsamehe maana hatunaye tena hata tukiyashupalia hasikii wala hatuoni.poleni wafiwa.Mungu amuweke panapomstahili
SERIKALI IWEKE KANUNI ZA KUTANGAZA MISIBA NA VIFO KWA WANANCHI WOTE NA JINSI YA KUPOKEA TAARIFA ZA MISIBA KWA MFANO ULIYEKUWA WA KWANZA KUAMBIWA NA MADAKTARI KUWA FULANI AMEFARIKI UKIJIRIDHISHA KWELI AMEFARI TUNAWEZA WEKA KANUNI MTU WA PILI UNAETAKIWA KUMPA TAARIFA NI KWA KIONGOZI WAKE WA DINI KAMA PADRI SHEIKH AU MCHUNGAJI NAE AKITHIBITISHA KWA KUMWONA MAREHEMU NA AKIPEWA HATI YA KIFO AKATANGAZIE UMMA SEHEMU YA IBADA HAPO NDIO WATU WAPATE TAARIFA ZA KIFO NA KUPANGA NA KUMJADILI MTAFANYIA NINI MAREHEMU HAYA MAJUKWAA MENGINE TUNAYOTUMIA KUTANGAZA MISIBA IPO MISIBA TUTATWANGANA NGUMI AU MATUSI YASIYOMSAIDIA KITU MAREHEMU HATA KUFIKA RECEPTION YA MBINGUNI WAKATI WOTE NI HAKI YETU KUFIKA HAPO MAPOKEZI MBINGUNI KABLA YA KUHUKUMIWA KAMA UTAISHI MBINGUNI AU MOTONIrip, alihamia chadema mwaka jana, kwa ajiri ya kumpigania mwanae ubunge, alibugi stepu
Wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho....
Wawe wanatenda mema wanaenda zao.......
Maana huyu ndiye aliua elimu yetu kwa kuchezea chemistry+ physics
Niwakumbushe tena wazee wengine waliobaki siri ya kuishi muda mrefu ni hekima na busara......
Ndio maana Mwinyi anadunda na ni Mwenye tabasamu pamoja na kuwa na miaka karibia 100......
But ...R.I.P.......
SERIKALI IWEKE KANUNI ZA KUTANGAZA MISIBA NA VIFO KWA WANANCHI WOTE NA JINSI YA KUPOKEA TAARIFA ZA MISIBA KWA MFANO ULIYEKUWA WA KWANZA KUAMBIWA NA MADAKTARI KUWA FULANI AMEFARIKI UKIJIRIDHISHA KWELI AMEFARI TUNAWEZA WEKA KANUNI MTU WA PILI UNAETAKIWA KUMPA TAARIFA NI KWA KIONGOZI WAKE WA DINI KAMA PADRI SHEIKH AU MCHUNGAJI NAE AKITHIBITISHA KWA KUMWONA MAREHEMU NA AKIPEWA HATI YA KIFO AKATANGAZIE UMMA SEHEMU YA IBADA HAPO NDIO WATU WAPATE TAARIFA ZA KIFO NA KUPANGA NA KUMJADILI MTAFANYIA NINI MAREHEMU HAYA MAJUKWAA MENGINE TUNAYOTUMIA KUTANGAZA MISIBA IPO MISIBA TUTATWANGANA NGUMI AU MATUSI YASIYOMSAIDIA KITU MAREHEMU HATA KUFIKA RECEPTION YA MBINGUNI WAKATI WOTE NI HAKI YETU KUFIKA HAPO MAPOKEZI MBINGUNI KABLA YA KUHUKUMIWA KAMA UTAISHI MBINGUNI AU MOTONI
Inabidi wapewe orientation kuwaelewesha kuwa, mambo ya uongozi ni mambo ya kupita, hivyo wasijione kama wao ndo MunguShida ya Africa ukiwa madarakani unakuwa robo tatu ni Mungu.
Haah! Kumbe ame RIP akiwa kamanda. LoohMakamanda nao wamepata pigo sana hawa ni miongoni mwa wazee watatu wenye nguvu kubwa kisiasa waliohamia CHADEMA mwaka jana. Wengine ni Lowassa na Sumaye. R. I. P Kamanda Munghai
Mkuu naomba video au link nisome.Mhhh huu mwaka wa shetani mpaka tufike December sijui
Ila ile dua iliyopigwa wakati wa kufunga kampeni jangwani sijapata kuiona tangu nizaliwe
Ni mawazo sitaki maswali