TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

Halafu juzi juzi wakati JPM akiwa Kenya alisema Mungai ni mkenya ambaye wazazi wake walilowea Tanganyika
 
R.I.P Ila natamani waungwana waniambie Mungai aliharibu vipi mitaala ya elimu
 
Wazee wapumzike wakumbuke kuwa maisha yana mwisho....

Wawe wanatenda mema wanaenda zao.......

Maana huyu ndiye aliua elimu yetu kwa kuchezea chemistry+ physics

Niwakumbushe tena wazee wengine waliobaki siri ya kuishi muda mrefu ni hekima na busara......

Ndio maana Mwinyi anadunda na ni Mwenye tabasamu pamoja na kuwa na miaka karibia 100......

But ...R.I.P.......
No, siri anayo Mungu ndugu yangu! hakuna anayejua no matter umeishi ukitenda yapi, unakumbuka Idd amin aliishi miaka mingapi?
 
Hakuna andiko hata 1 linaloruhusu kuombea wafu kwahiyo huo niukengeufu wafu hawaombewi milele
Umekwisha fanya utafiti wa kutosha kujua hakuna andiko hata moja? Angalia wewe na kizazi chako ndio msije kuwa mmekengeuka.
Soma katika Biblia Takatifu
WAMAKABAYO-12:46
"Ni jambo Takatifu na lifaalo basi, kuwaombea marehemu ili wafate funguliwa dhambi zao"
 
Wamakabayo ndy kitabu kwenye Bible ipi? Acheni kuhalalisha dhambi kwa ajili ya manufaa yenu bhana Biblia takatifu ina vitabu 66 tu kitabu cha kwanza ni Mwanzo na cha mwisho ni Ufunuo wa Yohana hayo mavitabu mengine unatajua wewe na familia yako
 
Chadema tupeni utaratibu wa mazishi ya mwanachama wenu nguli joseph mungai.
 
Wamakabayo ndy kitabu kwenye Bible ipi? Acheni kuhalalisha dhambi kwa ajili ya manufaa yenu bhana Biblia takatifu ina vitabu 66 tu kitabu cha kwanza ni Mwanzo na cha mwisho ni Ufunuo wa Yohana hayo mavitabu mengine unatajua wewe na familia yako
We endelea kukengeuka tu, na hiki ndicho kinachozidi kuliponza Taifa la Tanzania kuwa na sampuli ya watu wa aina yako, wavivu wa kusoma, na wagumu wa kuelewa au kudadisi vitu. Nenda Tafuta agano la kale, upate kujifunza vitu, kuliko kuendelea kudumaza ubongo na kuufanya uwe jibini.
Ukitoka kitabu cha Esta, kinachofuata ndio WAMAKABAYO.
 
Nasubiri niwaone chadema kama wataenda iringa au igunga?
 
Back
Top Bottom