TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

Ninakumbuka hawa wazee kwenye moja ya mabaraza ya uwaziri awamu ya kwanza
wizara ya afya - Aaron Chiduo
" fedha- Amir Jamal
" elimu- Mama Thabita Siwale
" kilimo- Jackson Makweta
Hilo.swali shule ya msingi unapewa sasa hv huwezi hata kalili waziri maana kila siku wanabadilishwa
 
Wakiwa madarakani wanakuwa wapumbavu sn
 
siyo wazee tu ndo wanaokufa but vijana ndo wanakufa wengi take note halafu ni upuuzi kuwasema vibaya watu wanapokufa.
 
RIP Mungai. Pole kwa wafiwa.
 
Aliwahi pia kuwa waziri awamu ya kwanza.
Ndiye mgeni ambaye hakupata kuhojiwa uraia wake hata mara moja!!! Haitashangaza siku mmojawapo wa wanae "atakapokengeuka" tukasikia ati "athibitishe" uraia wake!!
 
Ndiye mgeni ambaye hakupata kuhojiwa uraia wake hata mara moja!!! Haitashangaza siku mmojawapo wa wanae "atakapokengeuka" tukasikia ati "athibitishe" uraia wake!!
Hata yeye husemwa aliifanyia kazi nchi ya asili yake kutuharibia Elimu yetu
 
Hata yeye husemwa aliifanyia kazi nchi ya asili yake kutuharibia Elimu yetu
Lakini hakusemwa kuwa si raia wa Tanganyika na wale wahakiki!! Bali waliomsema ni wale walioharibiwa elimu huku mitaani... kwa maana wale wengine elimu yetu haiwahusu!!!
 
Afadhali amekufa.

Alituharibia syllabus ya Physics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…