Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Na yeye atikise kibiriti, achukue form ya kuwania urais ashindane na Membe 😀
 
Chadema iwape Sana nafasi wanawake kwan ni jeshi imara si wepesi kuuza nafsi yao kwa shetani kwa faida ya mda mfupi
Halafu wana huruma sana. Matatizo madogomadogo ya DJ wamekua wepesi sana kumtatulia. Hakika wapewe nafasi za kutosha
 
Hahaha sasa kaondoka Chadema halafu anataka vyama vya upinzani viungane ili awe sehemu ya Chadema tena?!

Ukikikataa kitu kikatae kabisa hakuna nusu nusu, chama cha upinzani ni Chadema pekee, vingine vi vyama vya msajili wa vyama tu havina uwakilishi, na havitegemei kuwa na uwakilishi.

Kila la kheri sheikh, chama chenu kipya.
 
Ni muda wa kujiuliza kwanini mliyajua na kwanini yanakuja maana kubenea kafanya mengi kupitia gazeti lake hadi kumwagiwa tindikali

Sababu hiyo ndio imfanye awe mtovu wa nidhamu? Na aachiwe tu
 
Uamuzi huru na haki. Sishituki, ila salamu alizituma mda mrefu. Hongera kwa kutoenda kuunga mkono juhudi.
 
Huyu hata umweke na Ringo kura za maoni hapiti, aende alipata ubunge kwa upepo wa chama sio kukubalika kwake. Kwake chadema hakuna ilichopoteza zaidi kupunguza fitina zake
 
Soon atakuwa CCM huyu, ACT kaenda kwa kazi maalumu ya ku-monitor mikakati ya Membe dhdi ya serikali. ACT kuweni makini jifunzeni kwa Chadema kuingiza masalia mpaka chumbani hasa kipindi hiki ni hatar kwa usalama wa chama chenu.
Na KAZI ya Membe itakua nini?!.. FYI Membe is the Zanzibar Job nothing more, Kwa huku bara keshaanza kuongea deliberately Mambo ya kumpunguzia Kura..Kachero Mbobezi in the Bedroom.
 
Back
Top Bottom