Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

"Maendeleo hayana chama" kwa kumnukuu Yohana Mbatizaji hapa jukwaani. Kila la heri Kubenea.
 
Chadema inamong'onyoka tuu.. Soon itakuwa kama CUF
 
Chadema alihoji sana ruzuku zinatumikaje, na wabunge kukatwa fedha zao kila mwezi kwa jina la katiba ya kinyonyaji ya Chadema, na alipinga Mwenyekiti kugombea yeye tu miaka yote mtu mmoja tu, ndio alipoanza kuondoka Chadema, na akajua kumbe Chadema ni mradi wa mtu binafsi, hasa pale Sumaye alipoambiwa sumu haionywi baada ya kutaka kugombea uenyekiti, akigombea ubunge kupitia ACT uwezekano wa kushinda Ubungo ni mkubwa kuliko Chadema kwa sasa.
 
Huyu Ni MTU mdogo Sana Chadema chama alikikuta kikamkuza Sasa anaondoka, Chadema nikama chuo Cha Siasa anaenda kwa mwenzake kufarijiana. Sikio halizidi kichwa
 
Back
Top Bottom