Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

Kuna mkenya mmoja anajulikana kwa jina la kinuthia daaah!! Ni mbaya sana
 
Mh hivi haya mafundisho tunayopata katika dini na wazungu hufundishwa haya haya??
 
ila wanaume wa Wakenya wanadaka sana magoli nilishawahi kusema huko nyuma.
 
Mwanamke tabia shepu ni majaliwa ila wengi walinyimwa tabia shepu wakabarikiwa.

Nspenda sana verse yake kwenye suzana😇

Kumbe mwamba ni mchele anyway ila ni talented sana uyu shoga.
mbona kama sio yeye alioimba hiyo verse

Huyu si aliimba verse ya mwisho huwa anaimbaga base flan hivi
 
Tatizo uko bias, yaan wa Africa, mtu akisema wazi yeye ni BOTTOM GAY, basi mnafuta mazuri yote na kuacha mabaya, hata km ana kitu special.

Lile kundi hata Bien mwenyewe aliwahi hojiwa na alikiri Chimano alikua bora zaidi yao na alikua anapendwa sana na mashabiki, hivyo baada ya kusema wazi kuwa yeye ni Homo, wao wakaamua waachane, then wakakaa waliobaki kutafakari km wanaweza bila chimano, ila wakaona hawataweza, ndio kila mtu akaamua afanye kivyake.

Hakuna Doa lolote, watu wangetaka kuwasapoti bila chimano wangeweza tu, ila ndio hivyo hawakuwa wanawataka wale, walimtaka chimano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…