maumbo1825
Member
- Aug 26, 2026
- 35
- 72
Hadar
Anaetumia nae anatumiwa...haiwezekan watumie nanii zetu kweny njia isiyo halaliUnajuaje kama hazitumii, anaweza kuwa yeye ndio top
Mashoga wengi wapo very talented,, angalia tu wasanii wengi ambao wana hizo tabia.Mwanamke tabia shepu ni majaliwa ila wengi walinyimwa tabia shepu wakabarikiwa.
Nspenda sana verse yake kwenye suzana😇
Kumbe mwamba ni mchele anyway ila ni talented sana uyu shoga.
Wewe huwa unamwita mshkaji wako baby?Mbona sioni alipomtambulisha,kwahiyo wewe mkipika msosi na mshikaj wako tayari na wapenzi wa jinsia moja?
Kweli uyu ameimba ile versembona kama sio yeye alioimba hiyo verse
Huyu si aliimba verse ya mwisho huwa anaimbaga base flan hivi
Anazingua mno😄😁😁🤣🤣🤣🤣 Shemejizo
Hii ililetwa zamani sana hapa jukwaani na jamaa inaonekana hajabadilisha ni yuleyule. You better whatch your back!!!
Kitambo sana, wakenya wanajiamulia sana mambo hawalindi migongo yao mkuu.Kumbe wali nazi🙆🏿♂🙌🏿🤮
acha uboya wewe,Mbona sioni alipomtambulisha,kwahiyo wewe mkipika msosi na mshikaj wako tayari na wapenzi wa jinsia moja?
Mnadhani kila Bottom anafanya ili kutafuta pesa? Kwani kabla ya hapo pesa alikua anatafutaje? Watu wanataka tulizo la mwili.Kwani Hawa mashoga wanashindwa hata kuwa wanapiga nyeto?? Maana huyu jamaa kama Hela anaweza kutafuta ni very talented kwenye muziki huwezi kusema anafanya hivyo apate hela.
Cc cocastic
Inasikitisha sanaMnadhani kila Bottom anafanya ili kutafuta pesa? Kwani kabla ya hapo pesa alikua anatafutaje? Watu wanataka tulizo la mwili.
SanaaInasikitisha sana
Hii verse hajaimba huyu Shoga, aliomba anaitwa Savara. Kwny Susana Shoga kalimba verse ya mwisho na ana sauti nzito kuliko wenzieMwanamke tabia shepu ni majaliwa ila wengi walinyimwa tabia shepu wakabarikiwa.
Nspenda sana verse yake kwenye suzana😇
Kumbe mwamba ni mchele anyway ila ni talented sana uyu shoga.