Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

Imagine msosi wote huo halafu anaenda kupigwa mashine lazima anajinyea
 
Imagine msosi wote huo halafu anaenda kupigwa mashine lazima anajinyea
Enema iko, acha ushamba wewe, unahisi unavonyewa wewe kila mtu? Muambie mtu wako awe msafi, aje kwangu nauza viambata vya usafi, enema products, na lubricants za aina zote, ntamfanyia Offer.
 
Mbona huyu ni mchumba wake toka mda sana, hadi Bob risky akawa anamchamba chimano kuwa mzungu huyo havutii, ila Bob khaaah.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi bob alishatoka jela??
 
Ukiwa na ndugu wa hivyo hakuna rangi utaacha ona, utatamani ukaishi mbali kabisa
Ndugu yako akiwa masikini, jambazi, fisadi au muuaji na mtekaji wako unajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…