Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.

Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea kupambana.

SWALI: Uliwahi kukosa amani katika ndoa yako?
JIBU: Somehow

Umewahi kupitia vipigo katika ndoa yako?
JIBU: Kawaida

Unajutia kuoana na Manara
JIBU: 50-50

Umepewa talaka ngapi na Manara?
JIBU: Moja

Hiyo ina maanisha anaweza kurejea kwako?
JIBU: No, kwa sababu hata kuachana kwetu hatukuachana kisheria, ningefuata sheria inamaanisha ningekuwa kwenye eda.

Kwa nini haujadai talaka zote ili uwe huru?
JIBU: Sihitaji hata hiyo ndoa kwa sasa

Una uhusiano na mtu kwa sasa?
JIBU: 50-50

Ni kweli kuwa ulifuata hela kwa Haji Manara?
JIBU: Kwani Haji ana hela? Hana pesa, ana pesa ya kawaida

Haji alikupa kazi kama msaidizi wake, unaendelea na hiyo kazi?
JIBU: HAPANA

Siku ya birthday yake alikupost kisha akafuta, ilikukwaza?

JIBU: Huwa sikwazikagi na mambo ya kijinga

Kuna mtu au watu wamejaribu kuwapatanisha?
JIBU: Nikiamua kitu change siwezi kushauriwa, nikisema nimechoka basi ujue nimechoka

Ukaribu wako na Harmonie upoje?
JIBU: Ni rafiki tu, nina marafiki wengi maarufu, ninawapost pale ninapojisikia

Watu wanasema wewe haujatulia na wewe ndio una matatizo na haukuwa unamsikiliza mume?
JIBU: Siyo kweli, yanayozungumzwa kuhusu mimi ni stori za kutungwa, sitetereki kujibu kwa kuwa habari zote ni za uwongo. Suala la kutulia kila mtu ana muono wake, huwezi kumridhisha kila mtu.

Ni kweli ulimnyima Haji perfume?
JIBU: Kwanza hilo jambo hata ukilisikia unaona halina maana

Ni kweli utarudi Shinyanga?
JIBU: Nitarudi (anacheka)
Huyu dada ukisoma majibu yake kuna jambo utagundua. Yupo juu ya manara hata huyo mwandishi aliemhoji yupo level ya chini kwa huyo dada. Hawez kuwa mke wa kilaza
 
Ukitaka mali utaipata shambani.
vijana changamkieni fursa ya kilimo iliyo tangazwa na Waziri Bashe, kilimo biashara ndio kitakacho tukomboa kiuchumi jisajili sasa kupitia mradi wa BBT.
achaneni na huu upuuzi wa mtu mmoja.
 
Mwanamke kama huyu hutakiwi kuwa mtu wa kurudia sentensi mara 2 kama unataka kweli atulie kwako. Ukiwa mtu wa kualamika tu umeisha.

Mwanamke mkorofi dawa yake ni ubandidu tu. Dakika 2 unacheka dakika 3 mbele umechenjia haswa hadi anakuwa mpole. Akitaka kujiinua tena unamtia vibao. Na ndo maana kwenye kupigwa anapigwa sana kwenye mahusiano sio mwanamke reliable unaeweza kumuita mke unasuuza rungu unapita hivi.
 
Ukitaka mali utaipata shambani.
vijana changamkieni fursa ya kilimo iliyo tangazwa na Waziri Bashe, kilimo biashara ndio kitakacho tukomboa kiuchumi jisajili sasa kupitia mradi wa BBT.
achaneni na huu upuuzi wa mtu mmoja.
Huo mradi wanagawa mtaji bure au
 
Ukitaka mali utaipata shambani.
vijana changamkieni fursa ya kilimo iliyo tangazwa na Waziri Bashe, kilimo biashara ndio kitakacho tukomboa kiuchumi jisajili sasa kupitia mradi wa BBT.
achaneni na huu upuuzi wa mtu mmoja.
Tangazo la BBT,halikuwafikia watu wengi hasa vijijini,halafu muda ukawa mfupi wa kuomba,hakika vijana hawajatendewa haki.Anyway ngoja wapate walioomba.
Nadhani mwisho ilikua tarehe 30,lakini halmashauri nyingi zilikua kimya.
 
matangazo ylifika hadi vijijini, mimi nipo ipalamwa huku lkn nimezipata taarifa ila watu wa dsm wapo bise na udaku na ubuyu !!! mambo ya maana kama haya yanawapita
 
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.

Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea kupambana.

SWALI: Uliwahi kukosa amani katika ndoa yako?
JIBU: Somehow

Umewahi kupitia vipigo katika ndoa yako?
JIBU: Kawaida

Unajutia kuoana na Manara
JIBU: 50-50

Umepewa talaka ngapi na Manara?
JIBU: Moja

Hiyo ina maanisha anaweza kurejea kwako?
JIBU: No, kwa sababu hata kuachana kwetu hatukuachana kisheria, ningefuata sheria inamaanisha ningekuwa kwenye eda.

Kwa nini haujadai talaka zote ili uwe huru?
JIBU: Sihitaji hata hiyo ndoa kwa sasa

Una uhusiano na mtu kwa sasa?
JIBU: 50-50

Ni kweli kuwa ulifuata hela kwa Haji Manara?
JIBU: Kwani Haji ana hela? Hana pesa, ana pesa ya kawaida

Haji alikupa kazi kama msaidizi wake, unaendelea na hiyo kazi?
JIBU: HAPANA

Siku ya birthday yake alikupost kisha akafuta, ilikukwaza?

JIBU: Huwa sikwazikagi na mambo ya kijinga

Kuna mtu au watu wamejaribu kuwapatanisha?
JIBU: Nikiamua kitu change siwezi kushauriwa, nikisema nimechoka basi ujue nimechoka

Ukaribu wako na Harmonie upoje?
JIBU: Ni rafiki tu, nina marafiki wengi maarufu, ninawapost pale ninapojisikia

Watu wanasema wewe haujatulia na wewe ndio una matatizo na haukuwa unamsikiliza mume?
JIBU: Siyo kweli, yanayozungumzwa kuhusu mimi ni stori za kutungwa, sitetereki kujibu kwa kuwa habari zote ni za uwongo. Suala la kutulia kila mtu ana muono wake, huwezi kumridhisha kila mtu.

Ni kweli ulimnyima Haji perfume?
JIBU: Kwanza hilo jambo hata ukilisikia unaona halina maana

Ni kweli utarudi Shinyanga?
JIBU: Nitarudi (anacheka)
Vipigo-kawaida
Hana akili huyu
 
Demu kumbe alitaka umaarufu ila wote walikutana pipa na mfuniko.

Umaarufu bila kipaji tutegemee nae atajiunga soon na timu ya wadangaji wa insta,wanaotumia kichaka cha bongo movie na muziki kuficha umalaya wao.
Tena bongo movie ndo usiseme mimalaya imejaaa humo yaaani wanuka k ni wengi mpaka kero watu wanadanga mchana kweupe
 
Back
Top Bottom