Huwa nasemaga Mara kwa Mara,mwanaume hapaswi kuwa goigoi Kama Haji manara.
Haji anaachwa na mwanamke analialia mitandaoni na kuanguka anguka na kuzimia Kama kuku mwenye kifadulo na anaishia kuwapa kazi ya kumpepea,kisa? Huyu Mwanamke.
Mwanaume unapaswa kuwa ndiyo king of the territory Kisha mwanamke anaingia kwenye ufalme wako. Kwa majibu hayo Ni wazi kabisa hiyo ndoa hata kabla hawajaachana, mwanamke alikuwa anampelekesha Sana Haji.
Men,
Odds is too tough to us,usisubiri mwanamke akuchanie mkeka Kisha unaanza kulialia. Kama mwanamke wako akigundua wewe ni weak man,you are finished !! Hawanaga huruma hawa.
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app