Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Huwa nasemaga Mara kwa Mara,mwanaume hapaswi kuwa goigoi Kama Haji manara.

Haji anaachwa na mwanamke analialia mitandaoni na kuanguka anguka na kuzimia Kama kuku mwenye kifadulo na anaishia kuwapa kazi ya kumpepea,kisa? Huyu Mwanamke.

Mwanaume unapaswa kuwa ndiyo king of the territory Kisha mwanamke anaingia kwenye ufalme wako. Kwa majibu hayo Ni wazi kabisa hiyo ndoa hata kabla hawajaachana, mwanamke alikuwa anampelekesha Sana Haji.

Men,

Odds are too tough to us,usisubiri mwanamke akuchanie mkeka Kisha unaanza kulialia. Kama mwanamke wako akigundua wewe ni weak man,you are finished !! Hawanaga huruma hawa.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Eti akuchanie mkeka🤣🤣🤗
 
Kwa mahojiano hayo
unagundua huyu mwanamke na manara hakawakuendana kabisa, sio mswahili,Anajiamini sana na Yuko straight forward kwenye majibu yake. Hana porojo
Naunga mkono hoja, mbona hayo maswali kajibu vizur tu wajinga tu ndio watamshanbulia huyu Dada
 
S

Suali! Kwanza hata sijui nimefikaje hapa, nadhani kichwa cha habari kilinivutia. Hivi huyu binti alikuwa anafanya kazi gani kabla ya kukutana na Manara? Kuna yeyote amabae alikuwa akimjua huyu binti kabla ya kuolewa na manara?
Nimeanza kumjua 2019 na sikupenda aolewe na mannara
 
Kwa mahojiano hayo
unagundua huyu mwanamke na manara hakawakuendana kabisa, sio mswahili,Anajiamini sana na Yuko straight forward kwenye majibu yake. Hana porojo
Uko sahihi kabisaa Yuko vizuri
 
Kabisa sana!

Nashangaa wanao msema vibaya wanamsema kwa sababu gani?!

Mimi mwenyewe nilishangaa watu walivyo kuwa wakisema Manara ana hela, [emoji848] Ana hela gani ? Mbona yuko kwenye kawaida tu?!

Dada wa watu kaongea ukweli mtupu [emoji848]

Amejibu maswali yote honestly kwa ufasaha.
Wanafiki afu ukisoma comments humu Wana makasirikio na hasira za kuachwa na wanawake wanaowapenda
 
Kwahiyo wewe unajua kuliko Manara mwenyewe?
Anaongea kwa chuki tu hajamtoa shamba na alikua mitandaoni mda tu na alikua maarufu sema si sana,rushaina amejulikana kisa kua team mobeto nyie mlomjua baada ya kuolewa na haji ni ninyi tu....
Na ameishi na yogo na wamezaa
Hajji hajampa umaarufu kama mkosi tu Binti wa watu alikua Yuko vzr anafanya kazi nadhani hotel
 
Nani kaongelea umaarufu? Halafu mstari wa mwisho unatumia neno "Nadhani" kumbe huna hata uhakika na ukisemacho..Haji ndio kamtoa Shinyanga huko akajulikana na wengi acha kukaza fuvu.
 
Nani kaongelea umaarufu? Halafu mstari wa mwisho unatumia neno "Nadhani" kumbe huna hata uhakika na ukisemacho..Haji ndio kamtoa Shinyanga huko akajulikana na wengi acha kukaza fuvu.
Una stress wewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]haji manara
Mkiachwa mkubali kuachika rushaina kaja mjini kwa nauli yake,punguza makasirikio broh
 
Back
Top Bottom