Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Ukitaka mali utaipata shambani.
vijana changamkieni fursa ya kilimo iliyo tangazwa na Waziri Bashe, kilimo biashara ndio kitakacho tukomboa kiuchumi jisajili sasa kupitia mradi wa BBT.
achaneni na huu upuuzi wa mtu mmoja.
Tatizo na haya Mambo nayo yana waoigaji na udalali sana....Mr.Kuku kapiga sana watz kwa miradi kama hii ya kwenu.
 
Mi mwanamke na pengine sina akili sana ila huyu mwenzangu kama darasani basi mwisho yani kilaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hao walompa ubalozi kama wamempa ela nawahurumia sana mana hamna kitu hapo!
Mshaambiwa,huyo mwanamke amewa inspire wengi [emoji1]
Bongo bana ....kweli mikosi

Ova
 
Kwa mtazamo wangu Rushy amejibu ipasavyo kulingana na maswali aliyo ulizwa

Kabisa sana!

Nashangaa wanao msema vibaya wanamsema kwa sababu gani?!

Mimi mwenyewe nilishangaa watu walivyo kuwa wakisema Manara ana hela, [emoji848] Ana hela gani ? Mbona yuko kwenye kawaida tu?!

Dada wa watu kaongea ukweli mtupu [emoji848]

Amejibu maswali yote honestly kwa ufasaha.
 
Nami nmeliona Hilo,
Shes manipulative woman,
Manara tayar alilshajaa kwny mfumo wake ndo maana sarakasi kibao za kuzimia[emoji2960]
Usiombee ukutane na manipulator person tena awe mwanamke, dah kile ni kipaji cha hali ya juu aisee[emoji119]
Huchomoki kirahisi na wanahakikisha wamekunyonya hadi unakaukiwa damu, wanaweza kua na mipango ya muda mrefu au muda mfupi pale tu ukiwa huna matumizi tena,

Manara aliyavagaa tena si alikua msaidizi wake huyo basi alijua kumvuta akajaa, ile kauli ya "Kwani Manara ana Hela!?, anazo za kawaida tu" ndio inadhihirisha alipoona hana matumizi nae akamtema kikatili.

I wish kungekua na kozi yao ningeenda kusomea [emoji2960][emoji38][emoji38]
 
Tangazo la BBT,halikuwafikia watu wengi hasa vijijini,halafu muda ukawa mfupi wa kuomba,hakika vijana hawajatendewa haki.Anyway ngoja wapate walioomba.
Nadhani mwisho ilikua tarehe 30,lakini halmashauri nyingi zilikua kimya.
Kama mie sikusikia kabisa🥲 ningechukua mkopo jamani
 
Usiombee ukutane na manipulator person tena awe mwanamke, dah kile ni kipaji cha hali ya juu aisee[emoji119]
Huchomoki kirahisi na wanahakikisha wamekunyonya hadi unakaukiwa damu, wanaweza kua na mipango ya muda mrefu au muda mfupi pale tu ukiwa huna matumizi tena,

Manara aliyavagaa tena si alikua msaidizi wake huyo basi alijua kumvuta akajaa, ile kauli ya "Kwani Manara ana Hela!?, anazo za kawaida tu" ndio inadhihirisha alipoona hana matumizi nae akamtema kikatili.

I wish kungekua na kozi yao ningeenda kusomea [emoji2960][emoji38][emoji38]
Huyu mchezo ndo anaucheza mamaj, Kila mara lazima tuzinguane
 
Usiombee ukutane na manipulator person tena awe mwanamke, dah kile ni kipaji cha hali ya juu aisee[emoji119]
Huchomoki kirahisi na wanahakikisha wamekunyonya hadi unakaukiwa damu, wanaweza kua na mipango ya muda mrefu au muda mfupi pale tu ukiwa huna matumizi tena,

Manara aliyavagaa tena si alikua msaidizi wake huyo basi alijua kumvuta akajaa, ile kauli ya "Kwani Manara ana Hela!?, anazo za kawaida tu" ndio inadhihirisha alipoona hana matumizi nae akamtema kikatili.

I wish kungekua na kozi yao ningeenda kusomea [emoji2960][emoji38][emoji38]
Aliolewa Kwa mission maalum,
tatzo ke wa hivi wanatengeneza tension udate sana kimapenzi kisha anaanza sarakasi update wivu uchanganyikiwe akuburuze km gari bovu
 
Kabisa sana!

Nashangaa wanao msema vibaya wanamsema kwa sababu gani?!

Mimi mwenyewe nilishangaa watu walivyo kuwa wakisema Manara ana hela, [emoji848] Ana hela gani ? Mbona yuko kwenye kawaida tu?!

Dada wa watu kaongea ukweli mtupu [emoji848]

Amejibu maswali yote honestly kwa ufasaha.
Hadi nime mpendaa bureee yaan.
 
Uelewa wako uko vipi!?..shule ilikupiga chenga!?..huo ni mradi wa serikali...tatizo kutwa kufuatilia ya kijinga,Simba,yanga,mafuta mwamposa

Ww mwenye akili na ulieenda shule nilitegemea utatumia shule yako kunielekeza mm mwenye mambo ya kijinga ambae sjaenda shule i nikuelewe...uoni unatumia nguvu nyingi kwenye ujinga wako kualalisha udalali wa hovyoo kwenye huo utapeli wenu?
 
Back
Top Bottom