Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

Eti akuchanie mkeka🤣🤣🤗
 
Kwa mahojiano hayo
unagundua huyu mwanamke na manara hakawakuendana kabisa, sio mswahili,Anajiamini sana na Yuko straight forward kwenye majibu yake. Hana porojo
Naunga mkono hoja, mbona hayo maswali kajibu vizur tu wajinga tu ndio watamshanbulia huyu Dada
 
S

Suali! Kwanza hata sijui nimefikaje hapa, nadhani kichwa cha habari kilinivutia. Hivi huyu binti alikuwa anafanya kazi gani kabla ya kukutana na Manara? Kuna yeyote amabae alikuwa akimjua huyu binti kabla ya kuolewa na manara?
Nimeanza kumjua 2019 na sikupenda aolewe na mannara
 
Kwa mahojiano hayo
unagundua huyu mwanamke na manara hakawakuendana kabisa, sio mswahili,Anajiamini sana na Yuko straight forward kwenye majibu yake. Hana porojo
Uko sahihi kabisaa Yuko vizuri
 
Wanafiki afu ukisoma comments humu Wana makasirikio na hasira za kuachwa na wanawake wanaowapenda
 
Kwahiyo wewe unajua kuliko Manara mwenyewe?
Anaongea kwa chuki tu hajamtoa shamba na alikua mitandaoni mda tu na alikua maarufu sema si sana,rushaina amejulikana kisa kua team mobeto nyie mlomjua baada ya kuolewa na haji ni ninyi tu....
Na ameishi na yogo na wamezaa
Hajji hajampa umaarufu kama mkosi tu Binti wa watu alikua Yuko vzr anafanya kazi nadhani hotel
 
Nani kaongelea umaarufu? Halafu mstari wa mwisho unatumia neno "Nadhani" kumbe huna hata uhakika na ukisemacho..Haji ndio kamtoa Shinyanga huko akajulikana na wengi acha kukaza fuvu.
 
Nani kaongelea umaarufu? Halafu mstari wa mwisho unatumia neno "Nadhani" kumbe huna hata uhakika na ukisemacho..Haji ndio kamtoa Shinyanga huko akajulikana na wengi acha kukaza fuvu.
Una stress wewe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]haji manara
Mkiachwa mkubali kuachika rushaina kaja mjini kwa nauli yake,punguza makasirikio broh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…