Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Unawauliza Maispector Haruni wa JF?Hivi Kesi ya kifo cha Mc pilipili iliishia wapi?
Sawa ila kwangu Hana uzuri wowote ule zaidi zaidi Mungu kamjalia nyamaIla miongon mwa mabinti warembo Tz huyu yupo... Ni view yangu
kwanini kwa sababu mfupi au ?Mc asingeiweza hii ngoma...
Watu Walikuwa Wanameza Mate Kama Fisi Mkono Udondoke Wapite Nao ChapWatu bwana, wakati Pilipili anakufa walikuwa hawapo pamoja walitaka aendelee kuwa singo mpaka lini?
nani alikuwa mshitakiwa kwenye hiyo kesi ?Hivi Kesi ya kifo cha Mc pilipili iliishia wapi?
Hakuna Kesinani alikuwa mshitakiwa kwenye hiyo kesi ?
Au ma meja kunta?Unawauliza Maispector Haruni wa JF?
Wajanja wamewahiWatu Walikuwa Wanameza Mate Kama Fisi Mkono Udondoke Wapite Nao Chap
Tufaa Limenona Ute Kama Wote Wenye Cash Na V8 Wamewahi 🌷🌷🌷Wajanja wamewahi