Iliisha juu kwa juu kwa sababu kwenye hii nchi sheria inachagua wa kuwashughulikia na wale wa kuwaacha. Hata kesi ya kupigwa risasi Lissu haikuwahi kufunguliwa mahali popote pale, wala wahusika kukamatwa.Hivi Kesi ya kifo cha Mc pilipili iliishia wapi?
Yeah mwenye kisu kikali kawahiTufaa Limenona Ute Kama Wote Wenye Cash Na V8 Wamewahi 🌷🌷🌷
Hiyo ni tangazo hana mimba wala nini ingawa anaendelea kupigwa miti ( in dudubaya voice ) kama kawaida..Ilitakiwa akae muda gani ndio aonekane na mimba?
Acha Afanye Anachopenda Kojolea Ndani 💕🌷Ilitakiwa akae muda gani ndio aonekane na mimba?
Siku Hizi Mashairi Hayana Nafasi Uwe Na Cash V8Yeah mwenye kisu kikali kawahi
Mfupi Kwenda Wapikwanini kwa sababu mfupi au ?
Tayari WametenganishwaGumzo ya nini wakati kiapo kinasema "Hadi kifo kitakapowatenganisha"?
Pale pale tu msibani waombolezaji wanaomba namba chapHayo mambo mbona kawaida! Ukifa tu mkeo anaanza kupelekewa moto na wengine. Labda uwe bibi sana ajuza, ukiwa bado wamo we mwenyewe utatafuta wa kuipasha moto
Angalau muongo mmoja.Zingatia "angalau"!Ilitakiwa akae muda gani ndio aonekane na mimba?
Mtu afe na nyege kisa???!!!Angalau muongo mmoja.Zingatia "angalau"!
Kweli binadamu tunatofautiana.Ila miongon mwa mabinti warembo Tz huyu yupo... Ni view yangu
Ndio maana huwa sipendagi kujibana na pesa zangu,yani ina maana siku tu nikitoa mguu humu duniani kuna mtu mwingine anajichukulia,halafu kibaya zaidi hata hakawizi kidogo,huwa inaniuma lakini basi tu sina jinsi...Aliyekuwa mke wa mchekeshaji maarufu Emmanuel Mathias (MC Pilipili), Nicole Florence 'Qute Mena', amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na ujauzito wa siku nyingi.
Gumzo hilo limeanza rasmi hivi karibuni kufuatia mrembo huyo kuchapisha mfululizo wa picha na video kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, zikimuonyesha akiwa na tumbo kubwa la uzazi huku akionekana mwenye furaha tele.
Taarifa hizo zimeibua hisia mseto na maswali mengi kutoka kwa mashabiki na wafuasi wake. Wengi wao wamekuwa wakijiuliza kuhusu umri wa ujauzito huo pamoja na utambulisho wa baba wa mtoto tarajiwa, huku wengine wakichukua fursa hiyo kumtumia ujumbe wa pongezi na kumtakia heri katika hatua hiyo mpya ya maisha yake.
Hadi sasa, Qute Mena hajatoa ufafanuzi wa kina au kuweka wazi maelezo ya ziada kuhusu baba wa mtoto huyo wala umri kamili wa mimba hiyo, hali inayozidi kuongeza udaku na mjadala mpana mtandaoni.
Ndoa ni mpaka kifo, mume kaondoka dakika ile ile mke yupo huru kuendelea kusuguliwa na hata kuzaa.Aliyekuwa mke wa mchekeshaji maarufu Emmanuel Mathias (MC Pilipili), Nicole Florence 'Qute Mena', amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na ujauzito wa siku nyingi.
Gumzo hilo limeanza rasmi hivi karibuni kufuatia mrembo huyo kuchapisha mfululizo wa picha na video kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, zikimuonyesha akiwa na tumbo kubwa la uzazi huku akionekana mwenye furaha tele.
Taarifa hizo zimeibua hisia mseto na maswali mengi kutoka kwa mashabiki na wafuasi wake. Wengi wao wamekuwa wakijiuliza kuhusu umri wa ujauzito huo pamoja na utambulisho wa baba wa mtoto tarajiwa, huku wengine wakichukua fursa hiyo kumtumia ujumbe wa pongezi na kumtakia heri katika hatua hiyo mpya ya maisha yake.
Hadi sasa, Qute Mena hajatoa ufafanuzi wa kina au kuweka wazi maelezo ya ziada kuhusu baba wa mtoto huyo wala umri kamili wa mimba hiyo, hali inayozidi kuongeza udaku na mjadala mpana mtandaoni.
Yule dogo naye alijichanganya, utawezaje kuoa malaya?Aliyekuwa mke wa mchekeshaji maarufu Emmanuel Mathias (MC Pilipili), Nicole Florence 'Qute Mena', amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na ujauzito wa siku nyingi.
Gumzo hilo limeanza rasmi hivi karibuni kufuatia mrembo huyo kuchapisha mfululizo wa picha na video kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, zikimuonyesha akiwa na tumbo kubwa la uzazi huku akionekana mwenye furaha tele.
Taarifa hizo zimeibua hisia mseto na maswali mengi kutoka kwa mashabiki na wafuasi wake. Wengi wao wamekuwa wakijiuliza kuhusu umri wa ujauzito huo pamoja na utambulisho wa baba wa mtoto tarajiwa, huku wengine wakichukua fursa hiyo kumtumia ujumbe wa pongezi na kumtakia heri katika hatua hiyo mpya ya maisha yake.
Hadi sasa, Qute Mena hajatoa ufafanuzi wa kina au kuweka wazi maelezo ya ziada kuhusu baba wa mtoto huyo wala umri kamili wa mimba hiyo, hali inayozidi kuongeza udaku na mjadala mpana mtandaoni.
Angekuwa kobaz sawa, Tena angepata vitoto 72 brand new kabisa.Mc mwenye anazichapa huko alipo
Mwenzio alipigwa tukio jichanganye.Bonge moja ya demu.