beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,830
- 2,835
Umeniwahi MkuuMaisha lazima yaendelee
Umeniwahi MkuuMaisha lazima yaendelee
Hivi ndo anakula ile mali? Dah wakubwa wanafaidi.Madelu asikusikie,wafwaaa
Naheshimu mtazamo wako.Takataka hiyo!
Furahia maisha mzee maumivu yapo tu umwamini usimuamini, mguu nje mguu ndani.Mwenzio alipigwa tukio jichanganye.
Wanaowaamini sana wake zao ndo wanaibiwa.rejea masanja
Umemaliza huu ndio ukweli mchungu kama shubiri.Tufaa Limenona Ute Kama Wote Wenye Cash Na V8 Wamewahi 🌷🌷🌷
ÀahaàaGumzo gani wakati maisha lazima yaendelee.
Mc mwenyewe anazichapa huko alipo
Maiti na wewe unakuwaje na wivu wa kijinga hivyo?Kwani marehemu hakuacha wosia kwamba nikifa mke wangu asiolewe wala asitiwe mimba?
Kwahiyo mlitaka aendelee kuwa single muda wote? Na yeye ni binadamu ,anahitaji faraja pia.Aliyekuwa mke wa mchekeshaji maarufu Emmanuel Mathias (MC Pilipili), Nicole Florence 'Qute Mena', amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na ujauzito wa siku nyingi.
Gumzo hilo limeanza rasmi hivi karibuni kufuatia mrembo huyo kuchapisha mfululizo wa picha na video kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, zikimuonyesha akiwa na tumbo kubwa la uzazi huku akionekana mwenye furaha tele.
Taarifa hizo zimeibua hisia mseto na maswali mengi kutoka kwa mashabiki na wafuasi wake. Wengi wao wamekuwa wakijiuliza kuhusu umri wa ujauzito huo pamoja na utambulisho wa baba wa mtoto tarajiwa, huku wengine wakichukua fursa hiyo kumtumia ujumbe wa pongezi na kumtakia heri katika hatua hiyo mpya ya maisha yake.
Hadi sasa, Qute Mena hajatoa ufafanuzi wa kina au kuweka wazi maelezo ya ziada kuhusu baba wa mtoto huyo wala umri kamili wa mimba hiyo, hali inayozidi kuongeza udaku na mjadala mpana mtandaoni.
Million dollar question.Ilitakiwa akae muda gani ndio aonekane na mimba?
Asubiri kaburi lichakae kwanzaIlitakiwa akae muda gani ndio aonekane na mimba?
Ukifa tu watu tunaanza kumgonga mkeo tena kwa hasira mpaka alie machozi ya kutoshaMaisha lazima yaendelee
Linachakaaje sasa makaburi yanang'aa kuliko nyumba tunazoishi.... Maisha yanaendeleaaaAsubiri kaburi lichakae kwanza
Hamna kituBonge moja ya demu.
Jipe moyoYupo kazini anafanya matangazo ile si mimba halisi.