Aliyekuwa mke wa MC Pilipili, aibua gumzo Mtandaoni baada ya kuonekana na Ujauzito

Ndio maana huwa kuna stage za kuitwa mjane, huwezi kuitwa mjane eti kwa vile umefiwa na mmeo. Hiyo nafasi huzibwa haraka sana, pia kuna ambao wameachiwa mali nyingi, mtu wa hivyo utamuitaje mjane? Mjane ni yule asiye na kitu na umri wake umeenda sana kiasi kwamba haoleki, mfano ajuza aliyefiwa na mume wake kikongwe. Hawa mabinti wanaofiwa na waume zao ujanani hawana sifa ya kuendelea kuitwa mjane. Huwa wanapata wenza/wapenzi haraja sana
 
Ndio maana huwa sipendagi kujibana na pesa zangu,yani ina maana siku tu nikitoa mguu humu duniani kuna mtu mwingine anajichukulia,halafu kibaya zaidi hata hakawizi kidogo,huwa inaniuma lakini basi tu sina jinsi...
 
Ndoa ni mpaka kifo, mume kaondoka dakika ile ile mke yupo huru kuendelea kusuguliwa na hata kuzaa.
 
Yule dogo naye alijichanganya, utawezaje kuoa malaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…