Aliyekuwa mke wa MC Pilipili, aibua gumzo Mtandaoni baada ya kuonekana na Ujauzito

Kosa la MC ilikuwa kumnadi mke...
Vinginevyo ingekuwa ni mwanamke ambaye hatumjui na ndoa yao huenda ingedumu.

Otherwise tuseme mipango ya Mungu haina makosa.


UKimnadi mkeo mtandaoni kuna uwezekano mkubwa wa mahusiano kuvurugika
 
Kwahiyo mlitaka aendelee kuwa single muda wote? Na yeye ni binadamu ,anahitaji faraja pia.
 
Yupo kazini anafanya matangazo ile si mimba halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…