Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Mabibi na mabwana,

Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu? Ila za chini chini nasikia jamaa kambwaga baada yakuona mtelezo hamna tena (walitegemea vi sumli vyangu kundesha mapenzi yao)

Ofisi niliyomfungulia ikampa jeuri kupata pesa za kuhonga sasa kapigwa notice ya either ahame au alipekodi mara mbili aiseeh Mungu yuko fast a saana. Sasa hajui ataishije mjini hapa.

Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia naoa mke mwingine.

Chaajabu alishaanza na process za kudai talaka sa sijui ni msaidiaje? Kwake naona kinyaaaaa, na nipo natafuta na kuchovya chovya mabitch wengine nipate wakuishi nae tusogeze siku maana hawaeleweki hawa.

Note: Madada wa humu JF msicheze na ndoa Mungu analipa fasta siku hizi kama hujui maana ya ndoa usiing'ang'anie na kusumbua mwanaume utabeba laana na mikosi bure.
 
Kama alikuzalau mwanzo kisa kapata bwana hawezi shindwa kukuzalau tena atakapo pata bwana mwingne tena mwenye uwezo kukuzidi.

Mwambie mliishia achana yeye aendelee namaisha yake. wewe focus kuangalia ustawi wa familia yako yeye hafai tena kuwa mmoja wenu
 
Back
Top Bottom