Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Wanawake, kama huwezi kujisimamia tulia.

Ajinyonge wenzie wawahi hiyo kamba wapate zindiko la biashara.
Hivi ushaona wapi mwanamke anaependa umalaya akaweza kujisimamia??
kwa mwanamke mtaftaji hawezi kuwaza kuvunja ndoa yake kwa ajili ya mpita njia huyu wangu ni bogaz kabisa
 
Sema Mimi huwa nahusudu Sana kumsamehe mtu ambae najua kashaenda uko yamemshinda, afu akarudi mikono nyuma (ILA AKIWA SALAMA, Hana ngoma)[emoji4]
Ile moment huwa naifurahia Sana[emoji4]

Afu Kingine,
Huwa naamini mtu uyo anayo nafas kubwa ya kua mtu Bora Zaid maana najua uko alikotoka keshapata darasa tosha la maisha na upendo maana Ake Ni Nini.

Akili yangu inanambia,
Sidhan Kama mtu uyo anaweza rudia Tena Ujinga ule tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijayaandika yoote huyu kinachomrudisha ni ugumu wa maisha ila si kujutia sababu anaamini mimi siwezi muacha hivo atantumia kama ngazi ili afike malengo yake.

kumbuka alitelekeza hadi watoto wake aliobeba tumboni na kuingia leba sa sembuse mimi tumekutana utuuzimani??
 
Mkuu endelea tu na shughuli zako...

Huyo ameshachalala anaona aje kuzichota... Na kama alianza na kuomba talaka mwambie amalizie.... Ana tamaa sana...

Hutakiwi kumuonea huruma mwanamke
 
Mkuu nazan now atakuua ili ale vzr ela zako, cha msingi achana na uyo mwanamke akufai na sio uyo tu Bali mwanamke yeyote akikuacha usimrudie kamwe
 
Wanawake, kama huwezi kujisimamia tulia.

Ajinyonge wenzie wawahi hiyo kamba wapate zindiko la biashara.
Daah,juzi nimekutana na dili ya kamba aliyojinyongea mtu...tena kutoka kwa wazungu wajerumani.
 
Huyu jamaa mbona ni mdebwedo sana


Mbona huyo mwanamke anarudi ndani ya ndoa vzr sana nyie someni visa vyake ndo mtajua mnashauri mtu dhaifu kwa kiwango gani

Wanawake bwana uwaga so clever sana kujua udhaifu wa mwanaume,kama huyu jamaa angekuwa na msimamo km walivyo wanaume mashababi huyo dada asingethubutu kurudi kujaribu jaribu.

Kifupi huyo dada anajua ana deal na zezeta wa namna gani na namna ya kulihandle zezeta lake

Its matter of time tu mwanamke anarudi kupumzika wkt anatafuta namna ya kumpiga tukio zito zaidi

Huwezi kutenganisha mwanamke mjinga na mwanaume asiye na msimamo NeVER.Uwaga wana bond kubwa sana hao watu wawili hapo.Maana ujinga wa mwanamke unalindwa na kukosa msimamo kwa mwanaume siku zote.

Na uzuri mwanamke anajua kbs ht akiwa na mabwana 100 lkn yupo mjinga mmoja ambaye hata akiondoka kwa kumtukana na kumdhalilisha lkn anaweza kurudi mda wowote ule na mambo yakaenda.Sasa huyo ndo mtoa mada na hapa akiwa honest mtajua mengi[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom