Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Yan huyu hana tofauti na watawala wa kiafrika.Rais ana jopo la washaur lakin kila wakikutana badala ya wao kumshauri,yeye ndio anawashauri 😂😂😂😂
Ha ha has mi nimeleta taarifa tuu
 
Kuna Jamaa Humu Alileta Story ya Mchepuko wake unavyomsumbua akaupiga Chini maisha Yalivyomchafua huko alikoenda Akarudi kwa Jamaa. Jamaa akajua Amejifunza Ila Kilichompata hakuamini

Sasa Jiangalie Na Wewe. Huyo atakutoa Roho maana Anakuja Kisa Maisha yamempiga
Alafu anajingamba kwamba siwezi muacha kwa watu ngoja nimuoneshe
 
Kuna Jamaa Humu Alileta Story ya Mchepuko wake unavyomsumbua akaupiga Chini maisha Yalivyomchafua huko alikoenda Akarudi kwa Jamaa. Jamaa akajua Amejifunza Ila Kilichompata hakuamini

Sasa Jiangalie Na Wewe. Huyo atakutoa Roho maana Anakuja Kisa Maisha yamempiga
Unaweza kukuta alikuwa ameenda kozi maalum ya kuua.Awe makini.
 
Back
Top Bottom