Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Homa imenizidia mie ,kutwa nashinda nalia juma linapochomoza machozi huwa yanitoka . Kisa cha rehani
 
Huyo mwanamke ndo wale tunasema.."the lights are on but nobody at home"

NB: Kwa wale wasiojia maana wagoogle
 
Kwakweli
Mambo ya wanandoa Yana changamoto Sana.

Sema Sasa sijaona mahali kama umeandika unahitaji ushaur,pongezi au maoni.

Zaid zaidi naona umewashaur tu hawa dada zetu[emoji4]



Sent using Jamii Forums mobile app
Yan huyu hana tofauti na watawala wa kiafrika.Rais ana jopo la washaur lakin kila wakikutana badala ya wao kumshauri,yeye ndio anawashauri 😂😂😂😂
 
Yan huyu hana tofauti na watawala wa kiafrika.Rais ana jopo la washaur lakin kila wakikutana badala ya wao kumshauri,yeye ndio anawashauri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Swali langu n moja tu, ulipata kazi nyingine? sababu ndio hasa sababu ya kuachana...
Anahisi ninashughuli (biashara) naifanya sema hajui ni anahangaika kunichunguza coz anaona mambo yang yanaenda tuu
 
Back
Top Bottom